Kwa wanaume tu: Kabla ya kumuoa binti, jitahidi umjue mama yake!

Kwa wanaume tu: Kabla ya kumuoa binti, jitahidi umjue mama yake!

FB_IMG_17667440324515610.jpg


Awe tu mzuri na shepu nzuri akili tutatumia zangu
 
1. Kabla ya kuoa mwanamke, mjue vizuri mama yake.
Mabinti huchukua tabia za mama zao

2. Oa mwanamke atakaye kuheshimu hata kama ana hasara au umemkosea

3. Usipende kutamka neno 'nakupenda' au 'I love you' Aidha Kwa mkeo au wanao usipende kusema love you
Wanaume halisi tunaonyesha upendo Kwa vitendo sio kuongea sana

4. Vaa vizuri rangi za kiume, usivae nguo za kubana, nyoa, pendeza
Mwanaume halisi hatuna sifa ya uchafu

5 usiandike SMS gazette, sms ndefu
Au kuongea na mkeo kwenye simu muda mrefu.
Kwenye kuongea sana Kuna kujichanganya na kumpa mwanamke mwanya wa kukusoma.

6 usiishi Kwa ajili ya mwanamke
Ishi maisha yako
Mwanamke atakuja tu bila kumpambania
Wanaume halisi hatupambanii mapenzi Bali ndoto zetu.
Wanawake ndo watu wa kugombania mapenzi

7. Mazoezi ni muhimu Kwa kila mwanaume.
Haipendezi mwanaume kuwa na mwili nyanya au umelegea.
laZima ukaze misuli, misipa na. Vinyweleo
Push ups na gyms ni muhimu

8 Tongoza mademu wazuri tu.
Mwanaume halisi tunakula pisi Kali.
Usipende Ile kauli ya wakubwa wanafaidi

9 Jiheshimu na heshimu wengine

10. Usitongoze wala kulala na mke wa mtu.
Hii ipo karibu na kifo chako
Usifanye hili iwe mwiko kwako

11 usiwe na mahisiano yanayoitwa urafiki na mwanamke


12. Zingatia zaidi kanuni za afya, afya yako muhimu sana mwanaume mwenzangu
Kula vyema, Fanya mazoezi, kunywa maji mengi, pumzika vyema

13 Fanya kazi halali, timiza ndoto zako
Washauri mmekuwa wengi sana, tumechoka.
 
Back
Top Bottom