min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahahha mashirima yeye anavaa ma kaptula yenye mifuko mingi ya kutunzia pesa za mbege😅Mambo ya mashirimaa hayo🤣
Hahahha mashirima yeye anavaa ma kaptula yenye mifuko mingi ya kutunzia pesa za mbege😅Mambo ya mashirimaa hayo🤣
🤣🤣🤣🤣Hahahha mashirima yeye anavaa ma kaptula yenye mifuko mingi ya kutunzia pesa za mbege😅
Ningekunyoosha we mpare🤣Ndio maana hizo nguvu ukanyimwa!!
Huniwezi wewe, jeuri yako nimeiweka mfukoni!Ningekunyoosha we mpare🤣
Thubutuuu! Ipo siku yako.Huniwezi wewe, jeuri yako nimeiweka mfukoni!
Labda mleta mada anamaanisha usije jikuta umepiga wote... Kuna vijana wa hivyo siku hizi...Tangu lini yameanza kuwa na mwongozo wee lo??
Madili lazima yapigwe,, life lisonge, account zisome13 Fanya kazi halali, timiza ndoto zako
Wanasikitisha sanaLabda mleta mada anamaanisha usije jikuta umepiga wote... Kuna vijana wa hivyo siku hizi...