Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
We itakua pungaUende kwa shemej zako ukale ubwabwa wa eid
We itakua pungaUende kwa shemej zako ukale ubwabwa wa eid
We donaWe itakua punga
Mke kwa hela za boom bodaboda si watakua wanampopoa tuMe Nina mke anajua kupika chakula kizuri
Kwaher mkuu, ngoja niende ATM nikapange foleni na walimu wenzanguNina pesa nyingi mrembo, naweza kukuongeza ukawa mke mdogo
Kuoa sio jambo dogoKwenye kuoa wenye ujuaje saana au wanaochunguza sana ndio huwa wanafeli dakika za mwanzoni kabisa halafu kabla haujaoa lazima ujue lengo kuu la kuoa ni lipi unaangalia na hasara zake lengo la kubwa la kuoa ni kupata Watoto/Uzao kupata Furaha 35/% kuvumilia 65% Asilimia zinaweza kubadilika au kupungua
NAREKEBISHIKA WAKUU
Takataka, nyie ndio wapumbav mnao kuwa deceive na macho, ukiacha ushamba utaelewa kwanini nakuambia hivyoAmini nakwambia huyu demu ni msafi kuliko mke wako
Usitake mawazo yako ya kizamanizamani yafanane na kila mtuTakataka, nyie ndio wapumbav mnao kuwa deceive na macho, ukiacha ushamba utaelewa kwanini nakuambia hivyo
mimi sijashauri chochote dogoPunguza ushauri bwashee
Kafie mbali🚮mimi sijashauri chochote dogo
Naona unanijua vizuri mke wangu
Wameitwa wanaume na wewe mtoto mrembo umekuja mbio
Dalili za mwanzo za ushogaKuangalia tako lako.
Tangu lini yameanza kuwa na mwongozo wee lo??
Mambo ya mashirimaa hayo🤣
Naskia kuna wanawake wana ua mpaka wame zao kisa maliKuoa sio jambo dogo
Muoaji laZima uulize,
Ndoa ni zaidi ya watoto, Mali, n. K
I wish ningekuwa na hizi nguvu. ERoni angenitambua.Sio wote bwasheeView attachment 3560316