Kumbuka vitunguu swaumu vinatoa inflammation mwilini ila vikitumika kwa wingi au kwa mfululizo basi huweza ku-damage/kukwangua tissue hivyo hushauriw isitumike zaidi ya siku saba mfululizo. Angalau pawe na pumziko na hii ni home remedy hivyo ikigoma ona wataalamu kwa ushauri zaidi. Pia limao litumike kwa kiasi kama ilivyo kwa kitungu swaumu taadhari kwa mwenye vidonda vya tumbo hatumie kwa tahadhari ikiwa hapata maumivu basi anaweza kusitisha au akabadili mbadala haweza tumia ndimu. Ndimu ni more alkaline. AsanteTangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7, limao 1, pilipili manga 2.
Twanga kitunguu swaumu na tangawizi pamoja, chemsha Kisha ongeza pilipili manga hiyo na limao.
Acha vipoe, Kisha kunywa 2*3 kwa wiki 2- au kadri uwezavyo.
Usi sahau kula ndizi, parachichi, tikiti maji.
Wewe umesoma mavitabu ya wazungu huna ujuacho unaanza kukosoa kwa ulicho kalilishwa.Kumbuka vitunguu swaumu vinatoa inflammation mwilini ila vikitumika kwa wingi au kwa mfululizo basi huweza ku-damage/kukwangua tissue hivyo hushauriw isitumike zaidi ya siku saba mfululizo. Angalau pawe na pumziko na hii ni home remedy hivyo ikigoma ona wataalamu kwa ushauri zaidi. Pia limao litumike kwa kiasi kama ilivyo kwa kitungu swaumu taadhari kwa mwenye vidonda vya tumbo hatumie kwa tahadhari ikiwa hapata maumivu basi anaweza kusitisha au akabadili mbadala haweza tumia ndimu. Ndimu ni more alkaline. Asante
Ime nibidi nikae kimyaWewe umesoma mavitabu ya wazungu huna ujuacho unaanza kukosoa kwa ulicho kalilishwa.
Vitunguu swaumu hata wana waisrael walikitumia kwenye issue za uzazi kabla hata na vitabu vyenu havijakuwepo!!
Kitunguu swaumu ni kiungo kama viungo vingine unaposema visitumike zaidi ya siku 7 ndo ulivyo kalilishwa na mkufuzi wako Janabi? Nakuhakikishia hapati kura yule .
Usingizi + Hangover yan hatasielewiIme nibidi nikae kimya
OkayWewe umesoma mavitabu ya wazungu huna ujuacho unaanza kukosoa kwa ulicho kalilishwa.
Vitunguu swaumu hata wana waisrael walikitumia kwenye issue za uzazi kabla hata na vitabu vyenu havijakuwepo!!
Kitunguu swaumu ni kiungo kama viungo vingine unaposema visitumike zaidi ya siku 7 ndo ulivyo kalilishwa na mkufuzi wako Janabi? Nakuhakikishia hapati kura yule .
wapiga nyetro bana dah!Tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7, limao 1, pilipili manga 2.
Twanga kitunguu swaumu na tangawizi pamoja, chemsha Kisha ongeza pilipili manga hiyo na limao.
Acha vipoe, Kisha kunywa 1*3 kwa wiki 2- au kadri uwezavyo.
Usi sahau kula ndizi, parachichi, tikiti maji.
Gentleman tusalimiane kwanza, isije kuwa Kama wote tuli shinda hapo kilabuni unapo kunywaga mataputapu.wapiga nyetro bana dah!
Tabu yote hiyo ya nini sasa gentleman?
ni matumaini yangu, hujambo,Gentleman tusalimiane kwanza, isije kuwa Kama wote tuli shinda hapo kilabuni unapo kunywaga mataputapu.
Mimi mzima kabisa gentleman,ni matumaini yangu, hujambo,
nami ni bukheri wa afya gentleman,
hata hivyo,
kuwanywesha watu mipilipili na sijui malimao sijui tangawizi, sijui ndizi, parachichi, sijui tikiti n.k, mbona ni mateso sana aise?
kwanini wasijiepushe na nyetro tu kuepuka na huo ukatili wa kujimaliza kwa kufakamia mipilipili?
sawa,Mimi mzima kabisa gentleman,
Hii dawa niliyo onyesha ndio suluhisho katika kurudisha utimamu wa mwili, uki ongeza na mazoezi basi una rudi kuwa mpya.
Nyeto waachie wao gentleman
Muache nyeto lakini gentlemansawa,
wadau wameona ushauri wako, ni hiyari yao kujiponya
Mkuu ebu kuwa na tafsida kwanza mi sisumbuliwu mkuu acha zakoyuko wapi dronedrake? Poor Brain
sawakaka nimeachaMkuu ebu kuwa na tafsida kwanza mi sisumbuliwu mkuu acha zako
Acha utani wako