Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

Mimi nilivumilia vyote vyote uku mwanzoni ilipofika miezi 5 hivi nikapata safari ya kukaa miezi 6 mpaka anajifungua alipofika mwezi wa mwisho akaanza kunitukana matusi aisee uvimulivu ukanishinda bhna nikaona huu ni ujinga nikarudisha aisee tuligombana mpaka mtoto kajifungua ajasema kimya mtoto anafika miezi 4 ndo ameanza kunitafuta
 
Kipindi kingine cha muhimu ni ile miezi mitatu baada ya mke kujifungua....
Aisee huwa ni migumu sana na mental breakdown za kutosha
Kama mpo pamoja jitahidi sana kumuweka sawa awe na utulivu wa akili

Shiriki kikamilifu kumsaidia mtoto hata kama ni 2 hours a day, we appreciate that alot
 
Kuna Dada mpangaji wangu kipindi ana Mimba alikua ananichukia balaa sasa Mtoto anaelekea Mwaka naona Dada ananipenda mpaka naogopa maana ana Mume sasa haya maupendo anayonionyesha sasa hivi namna gani, nagundua kwamba ilikua ni Mimba TU sio yeye, what's this?
 
Alafu siku mkigombana atakuambia mtoto sio wako........
Huo ndio ujinga halafu sometimes unakuta ni kweli mtoto sio wako. Ndio maana mimi nawashauri wana demu wako akizaa na haujafafa kabisa na mtoto fanya mchakato wa kupima DNA kwa siri
 
Kipindi hiki mamam anakuwa na matumizi mengi mengine useless yanahitaji pesa...sasa ukiwa laini na fala utatafutaje hela?
Ufala na ulaini ninao zungumzia hapa ni kuwa laini kuvumilia tabia zake katika ujauzito yaani ujifanye fala kwa kukubaliana na matakwa yake ktk kipindi hiki
 
Mnafanyiwa na kuletewa drama tu. Mbona waliotelekekezwa na kubeba mimba huwa hawafanyi hivyo? Mbona wanafunzi na madhouse girl waliobebeshwa mimba haziwapelekeshi hivyo?

Mimi ni Mme na Baba wa watoto 4, katika mimba zote mke wangu hajawahi kuwa na hizo drama. Mkubwa yupo form 5 anaingia Six na binti yetu wa mwisho yupo Class Six ila sijawahi experience hayo mambo. Poleni kwa kupelekeshwa vijana wa leo.
Chief

Ishu sio kupelekeshwa haimaanishi kuwa wote wako hivyo,,ni wachache sana kama huyo wako yupo okay lkn wengi wao wanapitia hali hizo

Hiyo ni sawa na kuna ambao miezi miwili ya mimba hakuna sex tena lkn kuna ambao mpaka miezi nane wanasex kama kawaida tena ndo wana mzuka hatar,,,kwahiyo wanatofautiana lkn wengi wao wanatabia za mshike mshike
 
Kuna Dada mpangaji wangu kipindi ana Mimba alikua ananichukia balaa sasa Mtoto anaelekea Mwaka naona Dada ananipenda mpaka naogopa maana ana Mume sasa haya maupendo anayonionyesha sasa hivi namna gani, nagundua kwamba ilikua ni Mimba TU sio yeye, what's this?
Protect your fellow man and ignore her....ngumu nyeusi atakupotezea

Ukiona dalili za kutongozwa kodi ikiisha usiwaongeze sababu tafuta sababu ya kiutu uzima
 
Mnafanyiwa na kuletewa drama tu. Mbona waliotelekekezwa na kubeba mimba huwa hawafanyi hivyo? Mbona wanafunzi na madhouse girl waliobebeshwa mimba haziwapelekeshi hivyo?

Mimi ni Mme na Baba wa watoto 4, katika mimba zote mke wangu hajawahi kuwa na hizo drama. Mkubwa yupo form 5 anaingia Six na binti yetu wa mwisho yupo Class Six ila sijawahi experience hayo mambo. Poleni kwa kupelekeshwa vijana wa leo.
Chief

Ushasema wametelekezwa inamaanisha hauko nao karibu hivyo huwezi ona madhira yao

Kuhusu huyo mkeo shukuru mungu ni miongoni mwa wanawake wachache ambao wamebahatika na kutokuwa na vimbwanga katika mimba zao,,,lkn haimaanishi kuwa wengine wanaleta drama bali ni uhalisia wa ujauzito wao
 
Protect your fellow man and ignore her....ngumu nyeusi atakupotezea

Ukiona dalili za kutongozwa kodi ikiisha usiwaongeze sababu tafuta sababu ya kiutu uzima
Mbaya zaidi siwezi kuwafukuza, hivi Mimba inaweza kukufanya umchukie mtu?
 
Rudia tena ili umfanyie mkeo hayo yote .
Mimba iliyofuata nilikuwa baba bora ambaye hajapata kutokea duniani,,and this time she gave me a baby girl

Lkn bado nikifikiria au nikikumbuka mimba ya kwanza sijisikii proud hata kidogo
 
Back
Top Bottom