Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Watoto ni baraka lo
Usha-hackiwa tulia basi nimekudukua kidogo tu SIO sanaDuh😂😂😂ukairudisha
Kuna Dada mpangaji wangu kipindi ana Mimba alikua ananichukia balaa sasa Mtoto anaelekea Mwaka naona Dada ananipenda mpaka naogopa maana ana Mume sasa haya maupendo anayonionyesha sasa hivi namna gani, nagundua kwamba ilikua ni Mimba TU sio yeye, what's this?Kipindi kingine cha muhimu ni ile miezi mitatu baada ya mke kujifungua....
Aisee huwa ni migumu sana na mental breakdown za kutosha
Kama mpo pamoja jitahidi sana kumuweka sawa awe na utulivu wa akili
Shiriki kikamilifu kumsaidia mtoto hata kama ni 2 hours a day, we appreciate that alot
😂😂😂Usha-hackiwa tulia basi nimekudukua kidogo tu SIO sana
Uyo zawadi bora ungenipa mimi maana mtoa mada amecopy and paste andiko langu
Huo ndio ujinga halafu sometimes unakuta ni kweli mtoto sio wako. Ndio maana mimi nawashauri wana demu wako akizaa na haujafafa kabisa na mtoto fanya mchakato wa kupima DNA kwa siriAlafu siku mkigombana atakuambia mtoto sio wako........
Ufala na ulaini ninao zungumzia hapa ni kuwa laini kuvumilia tabia zake katika ujauzito yaani ujifanye fala kwa kukubaliana na matakwa yake ktk kipindi hikiKipindi hiki mamam anakuwa na matumizi mengi mengine useless yanahitaji pesa...sasa ukiwa laini na fala utatafutaje hela?
ChiefMnafanyiwa na kuletewa drama tu. Mbona waliotelekekezwa na kubeba mimba huwa hawafanyi hivyo? Mbona wanafunzi na madhouse girl waliobebeshwa mimba haziwapelekeshi hivyo?
Mimi ni Mme na Baba wa watoto 4, katika mimba zote mke wangu hajawahi kuwa na hizo drama. Mkubwa yupo form 5 anaingia Six na binti yetu wa mwisho yupo Class Six ila sijawahi experience hayo mambo. Poleni kwa kupelekeshwa vijana wa leo.
Nimeipenda hiiIla kuanzia Leo nitajifunza kitu, walau kwakipindi hiki kilichobaki
Protect your fellow man and ignore her....ngumu nyeusi atakupotezeaKuna Dada mpangaji wangu kipindi ana Mimba alikua ananichukia balaa sasa Mtoto anaelekea Mwaka naona Dada ananipenda mpaka naogopa maana ana Mume sasa haya maupendo anayonionyesha sasa hivi namna gani, nagundua kwamba ilikua ni Mimba TU sio yeye, what's this?
ChiefMnafanyiwa na kuletewa drama tu. Mbona waliotelekekezwa na kubeba mimba huwa hawafanyi hivyo? Mbona wanafunzi na madhouse girl waliobebeshwa mimba haziwapelekeshi hivyo?
Mimi ni Mme na Baba wa watoto 4, katika mimba zote mke wangu hajawahi kuwa na hizo drama. Mkubwa yupo form 5 anaingia Six na binti yetu wa mwisho yupo Class Six ila sijawahi experience hayo mambo. Poleni kwa kupelekeshwa vijana wa leo.
Mbaya zaidi siwezi kuwafukuza, hivi Mimba inaweza kukufanya umchukie mtu?Protect your fellow man and ignore her....ngumu nyeusi atakupotezea
Ukiona dalili za kutongozwa kodi ikiisha usiwaongeze sababu tafuta sababu ya kiutu uzima
Mimba iliyofuata nilikuwa baba bora ambaye hajapata kutokea duniani,,and this time she gave me a baby girlRudia tena ili umfanyie mkeo hayo yote .