Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

Kumbe mnatofautiana pakubwa sana, HAPO sasa nimekuelewa vizuri
Ofcourse....
Kuna wakina sisi ambao tulibahatika kupata uzao mwepesi mimba mpaka kujifungua...

Na kuna wale wanateseka, mpaka kuongeza watoto wazazi mnapata stress
 
Ofcourse....
Kuna wakina sisi ambao tulibahatika kupata uzao mwepesi mimba mpaka kujifungua...

Na kuna wale wanateseka, mpaka kuongeza watoto wazazi mnapata stress
Ni kweli kabisa kuna ambao wanapitia complications mpaka kuongeza mtoto mwingine anaanza kujishauri itakuaje au itakua km vile
 
Wanaume wa Dar hamna moral authority ya kutoa ushauri kwa wanaume.

Sasa madekezo yote hayo ya nini ?
 
Ndio
Nilikuwa nachukia wanawake na wanaume,na watoto wa kiume.Yaan nilikuwa naongea na vitoto tu vya kike,ajabu mwaka huu nimejifungua baby boy afu sichukii Tena watu.
Hongera sis mbona hukuniambia ๐Ÿ‘ถ๐Ÿ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ