Kwa wanaume wote wa chit chat; hii inawahusu!!!!!!!!!

Kwa wanaume wote wa chit chat; hii inawahusu!!!!!!!!!

Huo ukaguzi mwingine unaweza sema ni simple maana unahitaji mahojiano tu na mhusika, sasa hapo kwenye kasoro za kimwili ambazo zinamuumiza mwenzako, naona huu ni kama ukaguzi wa ndani sana ni kana kwamba unafanyika practically zaidi, eti Lady doctor unaweza fafanua zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi pale nilikukagua!??, ulinikagua!??? au tulikaguana!?? na kwa nini ulikuwa unalia na kuning'atang'ata shingoni...!!??

nilikukagua ila ulikuwa unang'ang'ania sana kushika 'kiwest' that's why nikakung'ata ila sasahivi nitakodi FFU kwaajili ya watu kama wewe......... Sitaki mchezo ati!!!!!!
 
Huo ukaguzi mwingine unaweza sema ni simple maana unahitaji mahojiano tu na mhusika, sasa hapo kwenye kasoro za kimwili ambazo zinamuumiza mwenzako, naona huu ni kama ukaguzi wa ndani sana ni kana kwamba unafanyika practically zaidi, eti Lady doctor unaweza fafanua zaidi.

naona kidogo unaelekea kunielewa sasa hebu njoo kwenye chumba cha siri tumalize mambo yote na nitakufafanulia vizuri.
 
Last edited by a moderator:

kagueni wote ila my Ruttashobolwa msimguse
sijawahi kujuta toka niwe nae,hizo sifa ni za kina Bishanga, Mr Rocky
sosoliso, na wengine,mi loya akhuuuu!!naunga mkono hoja ya kuwakagua wkware!!

wambie kabisa waelewe.

Kwanza na pingana kabisa na hili tangazo maana lina kwenda kinyume na sheria za chit_chat ambazo zinawatambua wakaguzi wakuu kuwa ni Madame B na Asprin. sasa wewe Lady doctor hayo malalamiko kama yamekufikia basi yamefika sehemu batili maana yalitakiwa yamfikie mwenyekiti wa mahusiano chit-chat Baba V ndio afanye maamuzi kama atabadili wakaguzi au lah.
na naomba uniambie umetumia kifungu gani kujipa mamlaka ya kukagua? mkaguzi upigiwa kura na wana chit_chat wote, je ni lini walikuchagua.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh hapa nahisi harufu ya damu Lady doctor ndio ulichoenda kufuatilia huko kuja kutukagua na unakagua nini haswa kama ana mshedede mkubwa au kibamia au ukiwa juu unakuwa nyuzi 90 au unakuwa doro
Halafu Madame B ni binamu yangu anikague kweli hapo ubinamu unaisha
Naomba tuwe wawili tuu huko room wakati tunakaguana

bila shaka tutakuwa wawili na majibu nitampa mkeo
 
Last edited by a moderator:
Toka lini wanaume tukakaguliwa?

Ninyi ndo mnatakiwa kufanyiwa ukaguzi wa kina maana.................
 
wambie kabisa waelewe.

Kwanza na pingana kabisa na hili tangazo maana lina kwenda kinyume na sheria za chit_chat ambazo zinawatambua wakaguzi wakuu kuwa ni Madame B na Asprin. sasa wewe Lady doctor hayo malalamiko kama yamekufikia basi yamefika sehemu batili maana yalitakiwa yamfikie mwenyekiti wa mahusiano chit-chat Baba V ndio afanye maamuzi kama atabadili wakaguzi au lah.
na naomba uniambie umetumia kifungu gani kujipa mamlaka ya kukagua? mkaguzi upigiwa kura na wana chit_chat wote, je ni lini walikuchagua.

Ruttashobolwa umechelewa sana kupata habari, pole yako hebu waulize vizuri tena hao wakaguzi wakuu pamoja na mwenyekiti wakujuze!

Btw nitakukagua hata kwa mtutu!!!!! Mamlaka yote ninayo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom