Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mmmh pacha Bishanga atakua
alishafanyiwa ukaguzi
huyo mwingine ulomtaja ndio haswaaa akatwe!!
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshaje cousin!! kifanyioooo?
Paloma ananikagua kila leo mie.. Na hajawahi kulalamika hata siku moja.. Unajua Ruttashobolwa Lady doctor na Passion Lady ni mapacha na wanaelewana sana.. Ukiona hivyo ujue Lady doctor anajua kila kitu chako na ndo maana anataka akukague lol..
hahahaa... Umejuwaje lol!!!
Ila mi sio muoga ujue hahaha
umeona eeeeee
mi pacha wangu kumkagua
my huby wala sio mbaya,ila
sio ule ukaguzi wa maumivu
amfanyie ukaguzi wa chumbani ruksaaaaa!!
na mimi kumkagua Arushaone ruksa,sie mapacha bana!!
Kutokana na malalamiko tuliopata kutoka chumba cha ukaguzi kinachoendeshwa na Mkuu wetu Madame B ambayo huletwa na wanawake mbalimbali walio kwenye ndoa na ambao bado hawajaingia kwenye ndoa.
Wanawake ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, huogopa kuingia kutokana na ma------ wayapatao pindi wawapo kwenye mahusiano ya uchumba na vidume vyao.
Baadhi ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa, hulia sana kutokana na tabia za wanaume zao zisizoeleweka pamoja na kuoa wanawake wengi bila mpangilio maalum
Sasa basi kutoka na malalamiko hayo Lady doctor pamoja na Madame B tumeamua kukagua kila mwanaume ili tuweze kujua sababu za hawa wanawake wenzetu kulalamika na kukosa amani katika mahusiano yao
kwa ukaguzi mtapitia kwa The secretary kuandikisha jina then mtakuja kwangu Lady doctor niwakague, Madame B atafanya hitimisho.
Cc: Madame B The secretary Passion Lady Evelyn Salt Baba V Asprin Mr Rocky Arushaone Slave The Boss kiwatengu Mtambuzi himidin shansarie Mamndenyi na wana chit chat wote!!!!!!!