Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umenichekeshaje cousin!! kifanyioooo?
Lady doctorhapana kwenye ukaguzi Lady doctor ananigwaya
Lady doctor
Arushaone
hapana shem hao walikutana View attachment 124423 halafu wakakibiziana mizigo kichochoroni
halafu wakawa hivi 😎:faint2::faint2::faint2:
Lady doctor
Mwanakwetu sema lingine; Bishanga yupo hapa Nairobi ukitaka habari nitakupa; anahitaji kufanyiwa makamuzi ya kina maana anahangaika sana na machangu na vidagaa vinavyonuka shombo!
Lady doctor
Haya kijembe hicho! mimi naona Bishanga apate ukaguzi wa pili mwili mkubwa mkaguzi mmoja anaweza asiyamudu majukumu!
Lady doctorlooh.... Atakuwa salama kweli? Na nikimpata moja kwa moja nampeleka 'operating Theater' lazima afanyiwe ukaguzi yakinifu shem langu..
raha jipe mwenyewe mama ndo wakati wako wakujidai
nataka nikikagua vifanyio niviwekee nembo ya TBS na expire date pia
yaani we acha tu maana nilikutana na cha mtoto, nikaona nikiendelea nitakuoverdose......... hahaha!!!!!!!!
Mokoyo usijali my dear ukaguzi wako utakuwa spesho sana usiwe na haraka, sawa?
Lady doctor, kwa matambo tu hukamatiki, ila unaweza kukuta wewe muoga kama nini
mmmwa​aaaaah 2 shemmwaaaaah!!!! shem