Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
switat wala usijali
pacha hawezi kukukagua bana
anakuheshimu na kukupenda pia!!
Kutokana na malalamiko tuliopata kutoka chumba cha ukaguzi kinachoendeshwa na Mkuu wetu Madame B ambayo huletwa na wanawake mbalimbali walio kwenye ndoa na ambao bado hawajaingia kwenye ndoa.
Wanawake ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, huogopa kuingia kutokana na ma------ wayapatao pindi wawapo kwenye mahusiano ya uchumba na vidume vyao.
Baadhi ya wanawake ambao wapo kwenye ndoa, hulia sana kutokana na tabia za wanaume zao zisizoeleweka pamoja na kuoa wanawake wengi bila mpangilio maalum
Sasa basi kutoka na malalamiko hayo Lady doctor pamoja na Madame B tumeamua kukagua kila mwanaume ili tuweze kujua sababu za hawa wanawake wenzetu kulalamika na kukosa amani katika mahusiano yao
kwa ukaguzi mtapitia kwa The secretary kuandikisha jina then mtakuja kwangu Lady doctor niwakague, Madame B atafanya hitimisho.
Cc: Madame B The secretary Passion Lady Evelyn Salt Baba V Asprin Mr Rocky Arushaone Slave The Boss kiwatengu Mtambuzi himidin shansarie Mamndenyi na wana chit chat wote!!!!!!!
Lady doctor
Masikini Bishanga mji kauvaa kwa pupa; tulimwambia siku nyingi Dar ina wenyewe; hakutusikia leo kageuka ndondocha; Lady doctor fanya uwezalo umkague Bishanga juzi niliona tu kama yeye Nairobi naamini maneno yako kama atakuwa ni yeye anahitaji ukaguzi wa kina!
Hakuna ubaya akipata ukaguzi wa pili kwa wataalamu wa nje waliobobea; nimeambiwa kuna vitaa hukupitia mwache Lady doctor arudie ukaguzi ili tuwe na uhakika na kazi yako!
we muache
sijui anyofolewe kifanyio
kabisa maana ana hamu ya ukaguzi!!
yaaini binamu kama ulikuwepo kwenye fikra zangu kwani nilitaka nami kitu kama hichi
hawa wanaume wa cc hawaeleweki kabisa tena utadhani wamekandamizwa kunako......!
switat wala usijali
pacha hawezi kukukagua bana
anakuheshimu na kukupenda pia!!
hahaha....... Pacha tukimnyofoa tutapewa BUN LOL!????
mwaaaaah!!!! shem
Paloma ananikagua kila leo mie.. Na hajawahi kulalamika hata siku moja.. Unajua Ruttashobolwa Lady doctor na Passion Lady ni mapacha na wanaelewana sana.. Ukiona hivyo ujue Lady doctor anajua kila kitu chako na ndo maana anataka akukague lol..Wewe Lady doctor hata shemeji yako unataka kuni kagua?
pacha wako kakuletea malalamiko?
Hakakuguliwi ntu hapa.
My akanana Passion Lady anani kagua kila leo.
Me nakuangalia tuu.
Hila na shauri sosoliso awe wa kwanza kukaguliwa.
umeonaeeee...... Yaani ni majangless my cousin. Hawa dawa ni kuwakagua hadi utumbo
pacha c unaona kiherehere chake?
atavunja ndoa za watu humu ndani
au mkate netiweki ya kifanyio!!
hapana shem hao walikutana View attachment 124423 halafu wakakibiziana mizigo kichochoroni
halafu wakawa hivi 😎:faint2::faint2::faint2:
Paloma ananikagua kila leo mie.. Na hajawahi kulalamika hata siku moja.. Unajua Ruttashobolwa Lady doctor na Passion Lady ni mapacha na wanaelewana sana.. Ukiona hivyo ujue Lady doctor anajua kila kitu chako na ndo maana anataka akukague lol..