Kwa wanaume wote wa chit chat; hii inawahusu!!!!!!!!!

Lady doctor mi naunga mkono hoja lazima wakaguliwe mana hizi ndoa zzimezidi na sijui nani huwa anazifunga,na divorce ni nani anawasainisha sielewi kabisa,kuna mtu Kaizer alininitonya anawake zaidi ya watatu naomba uanze na huyo ila kiwatengu wangu niachia sina shaka nae katulia tuliiiii akijaribu nje huwa anaona giza.
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor naomba mrejesho mpaka now umekagua wangapi na hali zao fanya fanya faster nataka kuandaa report Madame B anahitaji kwa ajili ya maboresho halafu Madame B zile bidhaa ulizokuwa mlizowauzia wa kina [MENTION=145504@asakute[/MENTION] same mwambie @everlyne salt azilete na huku
 
hahahahahahaaa.... Wewe nakuaminia ndio maana kiwatengu anogopa sana sindano

nadhani Madame B atanisaidia kumtafuta huyo mtu mwenye wake wa3 ila wengi ninao wajua wanawake wawiliwawili
 
Last edited by a moderator:

umesistiza balaa,au kuna
walakini maana kama umehamaki vile
sijui niruhusu ukaguliwe tu hakiyanani?!!
 
Lady doctor naomba mrejesho mpaka now umekagua wangapi na hali zao fanya fanya faster nataka kuandaa report Madame B anahitaji kwa ajili ya maboresho halafu Madame B zile bidhaa ulizokuwa mlizowauzia wa kina [MENTION=145504@asakute[/MENTION] same mwambie @everlyne salt azilete na huku

mpaka sasa nimekagua watu 9 ngoja wafike 10 then nitakuletea report kamili ya hao watu huku nikisubiri na wengine wakija
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom