Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

Kwa wanawake ambao hawapendi kubadilisha wanaume hiyo hali ikikukuta unafanyaje??

Nimegombana na mpenzi wangu sijui wetu week ya pili sasa hatusemeshanii..

Mgomvi ni yeye,, nilimfumania kwenye simu.. toka siku hiyo sijamtafuta naye hajanitafuta.. na mimi siwezi kumtafuta maana hakuna kosa nimefanya ni yeye anapaswa kunitafuta mimi

Ila kwa alivouchuna ina maanisha hana cha kupoteza kwangu nimekubaliana na hilo
Ila sasa kama mjuavyo tunakula tunashiba inabidi tutoe chakula
Nimewaza kama nimtafute kwaajili ya hilo tu then nimpotezee

Kwasasa sihitaji mahusiano ya sex na mwanaume mwingine

Maoni yenu wakuu
Embu acha hizo njoo tuunganishe makojoleo
 
Sina mengi zaidi ya kusema
Screenshot_20250522-025403_1.jpg
 
Huu sasa utoto 😏
Yani unamfumania hata hamjayaongea unataka kumpelekea kipochi manyoya chako kilichopoteza zip kweli??!!! 😥
 
Huu sasa utoto 😏
Yani unamfumania hata hamjayaongea unataka kumpelekea kipochi manyoya chako kilichopoteza zip kweli??!!! 😥
😫😫😫Ngoja nioge maji moto
 
Back
Top Bottom