Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Habari za Majukumu wanajukwaa.....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.

Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....

Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.

Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya

kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...

Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?

Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?

Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...

Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....

Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...

Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Sijui ila hapo kwenye agano " hymen"

Kama nmekuelewa.. maana mim first lv wangu nikimkuta bado anayo hyo kitu na mm ndio nilimtoa.. tulidum over 3 yrs.. we were young n in lov.. tulifanya dhambi/matusi zote unazojua wew. .had sex in public... Ila tulikuja achana sabab ya distance na wivu uliopitiliza especialy mim'
Bint alijua kuwa nampenda sana nayeye kunitunuku hymen first yr chuo aliona kuwa mim najua yeye ananipenda.. so alikua kuna mambo anafanya akijua ananimudu.. ikafikaa point .. namim nilikua na ego vbaya mno.. bas kwa mwez tunaweza achana mara mbili tunarudiana.. for 3 yrs same games.. lots of sex etc etc.. ila mwisho wa siku ego zetu zkatuachanisha mazima.. tho afta 2moths.. bint ali beg sana turud ila mim niligoma kabisa huku nampenda.. na sabab ya kugoma niliskia alipata mtu mwingne kwa muda huo mfup ila akaachana nae akarud kwangu.. namuuliza y . Anasema amegundua mim ndio mwanaume anaenipenda sana.. aisee sikuweza kubal had leo hii.. more than 9 yrs tumeachana ila tunawasiliana muda wote.. yuko ulaya nw ila we comunicate .. her family inanifaham we comunicate had leo na wengne wanahis bado ni wapenz.. she calls she texts lv etc etc.. mpaka leo hii.. so ukisema hyo kitu ya agano kinamna flan naamin.. hata mm huyu bint hatok kuchwan mwangu.. i dream of her sometime usiku.. nayeye anasema ananiota.. so things like that . So naamin kuna ukwel hapo kwenye agano
 
Habari za Majukumu wanajukwaa.....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.

Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....

Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.

Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya

kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...

Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?

Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?

Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...

Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....

Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...

Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Ethiopia ndo mnafanyaga ivo siyo??!!.....kule milima mingi sasa mpaka ushuke milimani huko na fuko kichwani mchuchu anakusubiri tu....sisi huku ni tambarare.....
 
Ukitumia lugha nzuri utapungukiwa?? Anyway someone's character reflects one's upbringing background...
 
Naam kila la kheri !!!! wazi una mihasira sana....lugha mbaya iko wapi hapo???...ivi ningeitoa ungevumilia??? Ethiopia ni nchi siyo tusi.msomege.
 
Habari za Majukumu wanajukwaa.....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.

Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....

Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.

Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya

kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...

Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?

Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?

Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...

Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....

Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...

Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Umenena vyema na hakuna mtu anaependa kuruka kutoka kwenye uhusiano mmoja kwenda mwingine lakini dunia imeharibika sahivi binadamu wamekuwa wanyama mtu upo nae unamuwazia mema kumbe kwenye moyo wake anakuona mjinga tu kwa staili hiyo ni ngumu kutoboa kwenye uhusiano mmoja kikibwa tuombe Mungu tu
 
Bado hatujachelewa
 
Back
Top Bottom