Kabisa....ukiamka tuu upo jf kusoma uzi wa rikiboy🤣🤣🤣🤣Tunadili na mitandao Sana kuliko maandiko Matakatifu ndo tunapokwama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa....ukiamka tuu upo jf kusoma uzi wa rikiboy🤣🤣🤣🤣Tunadili na mitandao Sana kuliko maandiko Matakatifu ndo tunapokwama
Mungu hawezi kupanga ujinga huoLakin kuwa na bikra au kutokua nayo doesnt matter, mbn kuna people wanaoa had machangudoa na wanaishi kwa aman , n mipango tuu ya Mungu kama ulipangiwa kuolewa bikra itakua , kama ulipangiwa utakitembeza had mtu wa 20 ndo akuoe bas itakua
[emoji23][emoji23]Tena Kama hujapta wa kimasihara unarudia rudia ucopy mbinu za wanazengo wa Jf[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa....ukiamka tuu upo jf kusoma uzi wa rikiboy[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah zile story kule zinaweza kufanya uaibike bure[emoji23][emoji23]Tena Kama hujapta wa kimasihara unarudia rudia ucopy mbinu za wanazengo wa Jf[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuoi bila mimba..... hapo hakuna kituAlisema hawezi kunioa bila mimba,nimebeba hajanioa.nafunga namba ya simu.UMEANDIKWA IVO
Ndoa nyingi watu wanatafuta na kulea tu watoto.... mapenzi hakuna!!!Wengi sasa hivi tumekwisha pitia kwenye mahusiano ambayo yameacha majeraha kwenye mioyo yetu
Wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na majeraha na baadhi wakiwa bado na mahusiaono yaliyo fifia sehemu nyingine yani nikama moto umefunikwa kwa jivu upepo ukipita kinawaka
Kweli baadhi wanaingia sababu uhalisia unawataka wawepo uko hasa ukitizama umri wao ila kiakili wanakuwa bado hawajajiandaa kwahiloNdoa nyingi watu wanatafuta na kulea tu watoto.... mapenzi hakuna!!!
Ndiyo maana kuchepuka ni issue ya muda tu
Very challenging times we're living in°°Kweli baadhi wanaingia sababu uhalisia unawataka wawepo uko hasa ukitizama umri wao ila kiakili wanakuwa bado hawajajiandaa kwahilo
Pia nirahisi kuamsha mahusiano na mtu ambaye ulikuwa na mahusiano naye tayari mfano unakuta mtu kabla ya kuowa/ kuolewa alikuwa tayari na mahusiano na watu 6
Najali hisia zake ndio maana siwezi kuwa nae ingali simpendi na mimi lengo langu lilikuwa kuonjaSiyo uanaume ni kuendekeza Tamaa za mwili.....
Hakuna asiye MTAMU bali ni tafsiri tu.....
Vipi ukizaa mtoto mlemavu utafanyaje? UTAMTUPA? Au wazazi wako wakiwa MASIKINI/HAWAJASOMA/WALEMAVU je utawakana? Vivyo hivyo kuwa na mwenza ukamvumilia kwenye usilolipenda ambalo hata yeye hakuchaguaa huku ukitaraji MALIPO kwa Mola Mlezi ndiyo hasa maana ya ndoa.....
Acha akili za kumwona mwingine kama kidoli cha starehe....!!!!! Kuwa binadamu mwenye kujali hisia za wengine....
Are you virgin?Habari za Majukumu wanajukwaa.....
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.
Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....
Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.
Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya
kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...
Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?
Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?
Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...
Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....
Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...
Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Hujajibu swali naona unarukaruka tuHaya mambo ya kugeuzana used mpaka unafahamishwa [kutambulishwa] baadaye unakuwa dumped for another chick... hapana kwakweli
Kama hujaolewa mie nipo tayari kukuwowa maana unamwaga point hatariHakuoi bila mimba..... hapo hakuna kitu
Niliwahi kusoma na kijana moja kutoka Kilimanjaro [Mchaga] at that time was in late 30s and was in service.... sasa wakati moja tukawa tunapiga story na his girlfriend nikaja kugunda the guy alikuwa ana mtoto yuko Secondary... na huyu siyo moja kuna kadhaa HUWA WANATAKA KUPATA WATOTO HALAFU WANAENDELEA KUSAKA MAISHA, siku akitoboa hata akiwa kwenye late 30s au early 40s ndiyo ataoa anayempenda kwa mbwembwe zote wakati wewe ushakuwa SINGLE MOTHER KITAMBO yaani na ushachuja...
Mwishowe unaamua ili Mardi mwanaume basi akijitokeza UKO TAYARI KWA NDOA...
Yaani kuna watu ni MAAGENT WA SHETANI ACHA TU.... atakudanganya kwa malovelove yote yaani, ukishabeba mimba anakuambia tulee tu mtoto mengine yatajulikana baadaye!!!!
Inasikitisha wasichana wengi hawajitambui sijui kuna shida gani!!!! Wengine wanazaa kwa operation wanabaki kuhangaika na makovu mwenzako anaendelea kula maisha!!!!
Wacha waendelea kudanganywa na kubaki na majeraha, tutafanyaje tukiwaambia dada zao hawasikii
The door is already sealedKama hujaolewa mie nipo tayari kukuwowa maana unamwaga point hatari
Unajali tamaa zako za kimwili....Najali hisia zake ndio maana siwezi kuwa nae ingali simpendi na mimi lengo langu lilikuwa kuonja
Kwani mahusiano yote lazima yazalishe ndoa ?Unajali tamaa zako za kimwili....
Ikiwa hivyo, huyo uliyemchezea hisia zake na mwili wake huoni tayari umeshamwachia makovu????Kwani mahusiano yote lazima yazalishe ndoa ?
Najiulizaga swali; Hivi mtu ambaye hawezi kuwa mwaminifu kwa mtu mmoja [mwezi wake] anaweza kuwa mwaminifu kwa wengi [yaani akikabidhiwa dhamana ya ofisi au Mali ya umma atakuwa mwaminifu???]Ikiwa hivyo, huyo uliyemchezea hisia zake na mwili wake huoni tayari umeshamwachia makovu????
Huu ni Ufisadi kama ulivyo ufisadi mwingine
Habari za Majukumu wanajukwaa.....
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.
Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....
Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.
Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya
kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...
Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?
Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?
Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...
Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....
Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...
Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Namshukuru Mungu kwakweli....