Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Mwanamke mafunzo atayapata kwa mumewe coz mume ana ujuzi.
Lakini pia mwanamke hua anafundwa mpaka zama hizi ili asiachike lakini ni nadra mno mno mno kukuta mwanaume anafunshishwa jinsi ya kubahave ama kunyandua.

Mwanamke atafundishwa kwenye kitchen party , mashoga zake na marafiki zake.

Vipi mkuu kwako inasound good kumwambia mchizi wako kua hujui kut*b unaomba ufundhishwe???
Kwani na mwanamke naye ina sound gud kumuuliza mwanamke mwenzie kuwa hajui jinsi ya kuifinyia kwa ndani
 
Jitunze...achana na porojo za jf. Hapa wamejaa mawakala wa shetani tuu. Hamna jema litokanalo na kupelekeana moto kabla ya ndoa. Tunza utu wako na mbususu yako.
Asante mkuu.
 
Mleta uzi hizi ni maada za form IV E

Anyways, huenda mawazo yako yakafanya kazi... vile unawaza Jambo Jema..

Nikutakie utekelezaji mwema...

Ni hayo tu bibie.
 
Lakin kuwa na bikra au kutokua nayo doesnt matter, mbn kuna people wanaoa had machangudoa na wanaishi kwa aman , n mipango tuu ya Mungu kama ulipangiwa kuolewa bikra itakua , kama ulipangiwa utakitembeza had mtu wa 20 ndo akuoe bas itakua
Una makeke mengi sana.
 
Namuacha ndio


Hili sio jambo la kukasirika ungekuwa mwanaume ungeelewa hii ni nature yetu
Siyo uanaume ni kuendekeza Tamaa za mwili.....

Hakuna asiye MTAMU bali ni tafsiri tu.....

Vipi ukizaa mtoto mlemavu utafanyaje? UTAMTUPA? Au wazazi wako wakiwa MASIKINI/HAWAJASOMA/WALEMAVU je utawakana? Vivyo hivyo kuwa na mwenza ukamvumilia kwenye usilolipenda ambalo hata yeye hakuchaguaa huku ukitaraji MALIPO kwa Mola Mlezi ndiyo hasa maana ya ndoa.....

Acha akili za kumwona mwingine kama kidoli cha starehe....!!!!! Kuwa binadamu mwenye kujali hisia za wengine....
 
Habari za Majukumu wanajukwaa.....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.

Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....

Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.

Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya

kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...

Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?

Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?

Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...

Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....

Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...

Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Umeongea vitu vya kufikirika ww binti....
 
Ni vzr
Lkn hili jambo ni pana,kuanzia malezi nk
Lkn pia kuoa/kuolewa bikira hakufanyi au sio sbb ya ndoa kuwa na utulivu,amani ...
Kumcha Mungu ndo kinachotakiwa!
Lkn pia hata ukioa/kuolewa sio bikira kuna namna ya kuomba ili kukaa sawa!
 
Angalau you played your part,,, ukinyanyua mikono mbiguni kuomba msaada kwa yule uliyejihifadhi kwa kutaka radhi zake UNAFIKIRI ATAKUACHA BUREBURE?
Kwahiyo walioolewa sio mabikira waKinyanyua mikono mbinguni hawajibiwi?
 
Lakin kuwa na bikra au kutokua nayo doesnt matter, mbn kuna people wanaoa had machangudoa na wanaishi kwa aman , n mipango tuu ya Mungu kama ulipangiwa kuolewa bikra itakua , kama ulipangiwa utakitembeza had mtu wa 20 ndo akuoe bas itakua
Usimuhusishe mungu na mambo ya kijinga na ya kishetani
 
Mimi ni mfano halisi nilifanya mapenz kabla ya ndoa nikapewa mimba nikaachwa lakini siwez mshauri MTU afunge ndoa kabla hajajua yaliyomo yamo .....kuna rafiki yangu anaishi ndoa ya mateso saivi kisa mpaka ndoa.Ana watoto wawili na wote kazaa na rafiki wa mume ambaye aliruhusiwa na mume wake mwenyewe
Uwiiii ilikuwaje?
Hebu tuanzishie Uzi tujifunze kitu
 
Back
Top Bottom