Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Mwanaume unaingia kwenye ndoa hujawahi kugonga na mwanamke hujawahi kugongwa. Hilo tindo na styles mtazijua kweli??
Au ndo mtaangalia Xnxx kwanza ndo mduu.

Huyo mmoja akionjeshwa nje(hasa mwanaume) ni rahisi kukengeuka kama huo mchepuko utammudu na kumjua vyema.

NB. Ni vizuri kwa mwanamke kuingia kwenye ndoa akiwa bikra ila sio poa kabisa kwa mwanaume kuingia ndoani ukiwa hujanjunja kabisa.
 
Lakin kuwa na bikra au kutokua nayo doesnt matter, mbn kuna people wanaoa had machangudoa na wanaishi kwa aman , n mipango tuu ya Mungu kama ulipangiwa kuolewa bikra itakua , kama ulipangiwa utakitembeza had mtu wa 20 ndo akuoe bas itakua
Kumuoa msichana bikra sio kigezo cha kudumu kwenye ndoa. Wanaume Sasa hivi wanataka mwanamke mwenye ujuzi na uzoefu wa mambo hayo. Bikra ilakuwa habari za kizamani. Mi naona mbona mabinti wengi tu walioolewa wakiwa mabikra ndo wanaongoza kuachika na Wakati waliolewa na bikra zao. Unaweza mkuta mwanamke ameshatumika vyakutosha na ukamkuta ni mtaalamu mzuri tu kwenye yale mambo yetu. Ndio maana utakuta yale mashangingi ndo yanaongoza kushikilia na kuvunja ndoa za watu (wakiwemo mabikra) unakuta mumeo akishikwa hachomoki na wewe ulikutwa na bikra yako unatupwa kule.
Dunia inaenda kasi sana tuache maisha ya kukalili. Uliye rizika nae mshikilie, yote ni majaaliwa ya Mungu. Kuna jamaa yangu alioa baaMedi/ mdangaji mzuri tu hapa town. Watu wote tulijua jamaa kaingia choo cha kike! hawatodumu, Sasa ni mwaka wa kumi yupo nae, na jamaa bado hajamkinai mkewe, bado wapo kwenye ndoa. Wanapendana utazani wameowana jana!
Haya mambo huwa ni kubahatisha tu hayana formula
 
Mwanaume unaingia kwenye ndoa hujawahi kugonga na mwanamke hujawahi kugongwa. Hilo tindo na styles mtazijua kweli??
Au ndo mtaangalia Xnxx kwanza ndo mduu.

Huyo mmoja akionjeshwa nje(hasa mwanaume) ni rahisi kukengeuka kama huo mchepuko utammudu na kumjua vyema.

NB. Ni vizuri kwa mwanamke kuingia kwenye ndoa akiwa bikra ila sio poa kabisa kwa mwanaume kuingia ndoani ukiwa hujanjunja kabisa.
Sasa kwa hiyo mwanaume mafunzo atayapata kutoka kwa mwanamke gani wakati unasema mwanamke ni vyema aolewe akiwa bikra
 
Kumuoa msichana bikra sio kigezo cha kudumu kwenye ndoa. Wanaume Sasa hivi wanataka mwanamke mwenye ujuzi na uzoefu wa mambo hayo. Bikra ilakuwa habari za kizamani. Mi naona mbona mabinti wengi tu walioolewa wakiwa mabikra ndo wanaongoza kuachika na Wakati waliolewa na bikra zao. Unaweza mkuta mwanamke ameshatumika vyakutosha na ukamkuta ni mtaalamu mzuri tu kwenye yale mambo yetu. Ndio maana utakuta yale mashangingi ndo yanaongoza kushikilia na kuvunja ndoa za watu (wakiwemo mabikra) unakuta mumeo akishikwa hachomoki na wewe ulikutwa na bikra yako.
Dunia inaenda kasi sana tuache maisha ya kukalili. Uliye rizika nae mshikilie, yote ni majaaliwa ya Mungu. Kuna jamaa yangu alioa baaMedi/ muuzaji mzuri tu mjini. Watu wotetulijua hawatodumu, Sasa ni mwaka wa kumi yupo nae, na jamaa bado hajamkinai tu, bado wapo kwenye ndoa.
Hatari tena hawa makumbembe yakikufinyia kwa ndani lazima ukamatike
 
Kwa mfumo wa maisha ulivyo ni ngumu sana kwa mwanamke na mwanaume kuingia kwenye ndoa wakiwa bado bikra.
 
Maana story zote mujini ni kupelekeana moto tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kujitahidi kujaribu kujitunza ukaambulia kunyang'anywa mwenza wako unayependa kuingia naye kwenye ndoa ukaambulia maumivu
 
Labda mfumo wa maisha ubadilishwe mtu akibalehe aruhusiwe kuoa hata kama Yuko shule ya msingi na vivyohivyo kwa msichana akivunja tu ungo aolewe hata kama ni mwanafunzi , hii itapunguza Hilo la kuonjana kabla ya ndoa
 
Hatari tena hawa makumbembe yakikufinyia kwa ndani lazima ukamatike
Kabisa mkuu[emoji1787][emoji1787]
Hata ofisini ukienda kuomba kazi, japokuwa na vyeti unavyo lakini utaulizwa unauzoefu!?

Sometime bikra anakuwa sio mtaalamu/ mtundu. Ikishatolewa tu hiyo bikra hamna jipya tena hapo. Anakua hana maajabu. Danga likimchumia tembele mume hadi anauma meno [emoji51][emoji51]
 
Lakini hwa mabikra sii wanatakiwa wapelekwe kwenye mafunzo ya jinsi ya kumhandle mwanaume.
Ila napo tambueni kitu kimoja mke ata akate mauno namna gani bado tuu tutagegeda huko nje
 
Akuuuu najitunza[emoji1787][emoji1787]
Jitunze...achana na porojo za jf. Hapa wamejaa mawakala wa shetani tuu. Hamna jema litokanalo na kupelekeana moto kabla ya ndoa. Tunza utu wako na mbususu yako.
 
Sasa kwa hiyo mwanaume mafunzo atayapata kutoka kwa mwanamke gani wakati unasema mwanamke ni vyema aolewe akiwa bikra
Mwanamke mafunzo atayapata kwa mumewe coz mume ana ujuzi.
Lakini pia mwanamke hua anafundwa mpaka zama hizi ili asiachike lakini ni nadra mno mno mno kukuta mwanaume anafunshishwa jinsi ya kubahave ama kunyandua.

Mwanamke atafundishwa kwenye kitchen party , mashoga zake na marafiki zake.

Vipi mkuu kwako inasound good kumwambia mchizi wako kua hujui kut*b unaomba ufundhishwe???
 
Back
Top Bottom