Kwa Wanawake na Wanaume ambao hawajawahi kuolewa wala kuoa

Habari za Majukumu wanajukwaa.....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.

Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....

Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.

Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya

kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...

Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?

Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?

Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...

Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....

Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...

Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Umeolewa?

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ndoa ni Ibada na kama ilivyo ibada zingine zote ni kwa ajili ya Mola Mlezi, sasa kuanza kabla ya ndoa tusitarajie baraka na neema..... matokeo yake ndiyo haya kila siku shida na maumivu kwenye ndoa...

Majanga mengi tunayoyapata kwenye FAMILIA zetu yanatokana na zinaa kutapakaa... kwenye ndoa hakuna utulivu, watoto shida, michepuko kila kukicha na mfano wa hayo.... usijizuie kwa kuogopa ukimwi bali kwa kutaka radhi za muumba wako Naye atakubarikia mambo yako
Dah! ko dada maria kama mmewahi fanya kabla ya ndoa inamaana hiyo ndoa haitakiwi sasa muachane au? Ebu endelea kujazia jazia
 
Nipo bega na wewe kuhakikisha huu Uzi unafika mbali na kuzidi hata ule wa rikiboy wa KULA TUNDA KINASIARA . Hizi ndio hoja za kuleta humu jf kwa ajili ya maendeleo ya vijana wa kesho
Huu hauwezi kuupita wa rikiboy....hilo nina uhakika.
 
Haya mambo kwa upande wangu naona ni mipango ya mungu kwa sana kwa dunia ya sasa wtu walio loyal sana na humble hawana mda na ndoa na hawapati wenza kwa kujishtukia kuchitiwa hata wanaume baadhi kuhudumia wanawake unaona jau usijekuwa unajaza mafuta kweny usafiri wa umma kila mtu anapanda

Dunia imeisha sana wadada wanazaa kama bata tena hao wasomi ila ndoa zipo nadra sana naona vijana ninao wafahamu kati ya ndoa tisa ni mbili wanawake wameolewa ila vijana 8 wameoa tena kutoka vijijini sio watu tulikutana nao chuo na wasichana 10 kati nilimaliza nao wawili wameolewa na kuzaa na 8 wamezalia home kupenda pesa

kingine mapenzi ni hisia na zinapotea kwa sasa haswa za ndoa coz mambo ya faragha yamekuwa cheap mno maadili hamna

ushauri haswa wanawake wapo kweny hatari ya kuingia sehemu isiyo salama kwa hofu ya umri na kuchelewa kuzaa juu hayo yote kuzaa sijui ndoa ni mipango ya mungu unaweza kufa ukiwa unajifungua miezi miwili tumezika rafiki yetu amekufa alipokuwa anajifungua yeye na mwanae wote .

wanawake msikubali kufanywa magharasa aki ya mungu ukizaa nje labda jamaa akuoe ila unajipunguzia credits za kuolewa na mtu mwingine
 
Habari za Majukumu wanajukwaa.....

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba leo niongee na vijana ambao bado hawajaingia Kwenye ndoa.

Yote nitakayoyaongea hapa ni mtazamo na mawazo binafsi, hayaakisi mtazamo wa kundi au taasisi yoyote na Nakaribisha maoni yenye Lengo la kujenga na kusaidia Jamii yetu....

Sasa hivi ni nadra kumkuta kijana anakula kiapo cha ndoa akiwa hajashiriki ngono.

Na jambo hili linaonekana ni jambo la kawaida sana kwenye jamii zetu, ndiyo maana utakuta kwenye social media, movies, miziki na story za vijiweni zinazungumzwa sana story za MAHUSIANO [MAPENZI] lakini kwa bahati mbaya

kinachohamasishwa ni mahusiano kabla ya ndoa na maana isiyohalisi ya mapenzi [sura, maumbile kama tako, handsome, kifua, akipita anadatisha].... Mahusiano/mapenzi ni zaidi ya hivi...

Kwanza katika mapenzi au mahusiano UNAHITAJI MTU AMBAYE ATALEA NA KUZIENZI HISIA ZAKO, MTAJENGA PAMOJA KESHO YENU, ATAKUWA MAMA AU BABA WA FAMILIA YAKO, ATAUNGANISHA UKOO AU FAMILIA YAKO, ATAKUHIFADHI HESHIMA YAKO UKIWA NAYE AU MBALI NAYE, ATAHAKIKISHA USALAMA WAKO WA KIHISIA, KIUCHUMI NA KIJAMII UKIWA NAYE AU UKIWA MBALI NAYE... Je sura pekee itakuhakikishia haya?

Jambo la pili: Kuingia kwenye ndoa ukiwa tayari umetumika ni inshara kuwa tayari ushakuwa na majeraha ya kihisia na pia inawezekana kabisa hisia zako hazijafungwa kwa uliye Naye kwenye ndoa Bali zinaweza kuwa somewhere else.... a bit controversial, right?

Mfano hymen of girl kwa mwanaume atakayeitoa katika mazingira ya makubaliano ni kama agano lililofungwa baina yake na huyo mwanaume ndiyo maana wengi huishia kukumbushia na kuharibu nasaba nyingi kwa kuzaliwa watoto wasio wa yule mwenye ndoa...

Jamani tujitunzeni na tuingie kwenye ndoa tukiwa hatujatumika..... kugawa ngono siyo ishara ya upendo na anayetaka kupewa ngono ili kuonesha kweli anapendwa ajue ule siyo upendo BALI KUTUMIKA KAMA KIFAA CHA STAREHE TU... mahusiano yenye future na kuheshimiana hayawezi kuwa ya mashariti ya vitu [kupiga mizinga au kutaka ngono]....

Mahusiano ya sasa hasa kabla ya ndoa ni biashara isiyo rasmi ya ngono NDIYO MAANA WANAUME WANAGAWA FEDHA NA ZAWADI ZINGINE NA WANAWAKE WANAGAWA URODA... HAPA NI BIASHARA HIVYO UKIJERUHIWA JUA KABISA UPANDE WA PILI IS NO LONGER NEED YOU...

Nashauri tujitunze na tuingie kwenye ndoa with our virginity... hata ndoa zetu zitakuwa na baraka za Mola Mlezi
Ni kweli kabisa tunatumiana tuu kama vifaa vya ngono.
 
Dah! ko dada maria kama mmewahi fanya kabla ya ndoa inamaana hiyo ndoa haitakiwi sasa muachane au? Ebu endelea kujazia jazia
Huu uzi mahususi kwa ambao bado... kama tayari tutubie maisha yaendelee....
 
Hizi imani ni imani za kishirikina... kumwona mwenzako kama chombo cha starehe......

Ukipata MTOTO MWENYE ULEMAVU UTAMTUPA??? AU MWENYE UELEWA MDOGO [MTINDIO WA UBONGO] AU MFUPI SANA???

Vivyo hivyo elewa kuwa na mwenzako kwenye ndoa ambaye ana mapungufu madogo kama hayo ya utamu kama ulivypsema na ukamhifadhi, kumpenda na kumjali utapata malipo kutoka kwa Mola Mlezi kama unavyotoa sadaka kwa masikini au walemavu na wagonjwa......

Zindukeni acheni kuumiza wenzenu kwa kuwaonjaonja kama katanga....... anaweza kufall for you lakini wewe ukamtelekeza kisha ana mapungufu!!!!

Yaani ajira mtihani, mapenzi mtihani, family bond mtihani..... maisha yanageuka jahamu jamani...... kila kukicha vijana wadogo wanapata stresses zisizo as lazima....
Mimi ni mfano halisi nilifanya mapenz kabla ya ndoa nikapewa mimba nikaachwa lakini siwez mshauri MTU afunge ndoa kabla hajajua yaliyomo yamo .....kuna rafiki yangu anaishi ndoa ya mateso saivi kisa mpaka ndoa.Ana watoto wawili na wote kazaa na rafiki wa mume ambaye aliruhusiwa na mume wake mwenyewe
 
Hawatakagi hata kuwagusa...eti dhambi subiri tufunge ndoa
Lakini jamani sii ata mkikumbatiana lazima mgegedo udinde kidogo hivyo usipopata mpapaso wa mgegedo wakati wa kumbato tayari uunajua huyu hamna kitu
 
Mimi ni mfano halisi nilifanya mapenz kabla ya ndoa nikapewa mimba nikaachwa lakini siwez mshauri MTU afunge ndoa kabla hajajua yaliyomo yamo .....kuna rafiki yangu anaishi ndoa ya mateso saivi kisa mpaka ndoa.Ana watoto wawili na wote kazaa na rafiki wa mume ambaye aliruhusiwa na mume wake mwenyewe
Eeh kwa hiyo jamaa alakibali kabisa mke wake atombweee na rafiki yake😲😲😲😲😲
 
Back
Top Bottom