CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,167
- 24,129
Kuna wanawake dunia hii wana sifa zote za kuitwa wanawake,unajua siku zote mwanamke kaumbwa kama kiumbe chenye unyenyekevu/ mpole/ mtiifu/ mkarimu nk ila shida inakuja kuna ingizo jipya sijui hawa wameumbwa na Mungu yupi kwakwe sijui.
Leo mimi sina maneno mengi zaidi ya kusema Asante kwa wanawake wote mna appreciate hustle zetu sisi sura mbovu, muonekano zero, mfukoni ndio usiseme, kiukweli sina la kuweza kusema likaeleweka ila napenda leo niwambie ASANTENI wote na Mungu azidi kuwabariki.
ombi langu kwa Mungu siku 1 akawaonekanie wapenzi zenu,watu wenu mnao wapenda wafanikiwe "watoboe" kimaisha ili haya mapito mnayopitia leo ya kuonekana nyie si lolote, si chochote hamtambui thamani yenu yakageuge Juu Chini na mkang'ae juu ya mataifa yote.
Asanteni wanawake wote ambao uvumilivu kwenu ni kitu kipo ndani yenu,asanteni wanawake ambao mpo tayari kuaibika kisa wapenzi zenu asanteni wanawake wote mlio/mnao tumia mlichonacho ili tu mpenzi/umpendae wako ainuke awe juu kama wanaume wengine.
Kuna wanawake leo hii mna hadhi za kupanda magari,kuwa na wanaume classic wenye majumba maisha mazuri lakini hamjatamani huko kote mmetulia mnaamini "ipo siku namimi mume/mpenzi' wangu atatoboa tu Asanteni sana.
Mungu wenu mnae muamini kuwa "ipo siku mpenzi wangu atafanikiwa" nataka mfahamu kuwa yupo na hajawahi kuwa kiziwi anasikia hata kama hamtotamka Uvumilivu wenu ipo siku 1 mtaona faida yake,msichoke kutusaidia sisi bila nyie hatuwezi,Hata niwe na mbavu kiasi gani bila uwepo wenu maishani mwetu hamna tunachoweza.
ASANTENI sana sana.🙏
na huuuu ni kwa ajili yenu wote, i mean wote niliowashukuru hapo Juu 👇 👇
Whigfield - sexy eyes
Ooh ooh aah aah sexy eyes
I'm gonna take you to paradise
hey hey my my can't you see
you were born to dance with me
Ooh ooh aah aah sexy eyes
you know i'm neva gonna tell you lies
hey hey my my look at me
you got me feeling free
Na na na na...