Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

Ahsante sana mdogo wangu CONTROLA tumezipokea hizi baraka kwa mikono miwili, nasi kwa moyo mkunjufu na sauti ya unyenyekevu kabisa tunasema, 'tutavumilia na wanaume wetu wapambanaji mpaka tone la mwisho la uhai wetu'..!!
Tuvumilieni tu halaf tukifanikiwa kupata pesa tunawapiga chini,tunavuta visu vipyaaaa vya ku spend navyo.Nyie mnabaki wa kutafuta nao maisha ila wa kutumia nao wapo wanangoja ..
Ahahahahahahaha
 
Tuvumilieni tu halaf tukifanikiwa kupata pesa tunawapiga chini,tunavuta visu vipyaaaa vya ku spend navyo.Nyie mnabaki wa kutafuta nao maisha ila wa kutumia nao wapo wanangoja ..
Ahahahahahahaha
acha bana sio kweli,kama ndo hiivyo utakua na dhambi kubwa sana "japo hamna dhambi ndogo wala kubwa" ila kwa tuko lako itakuepo.
 
Nina wanawake zangu wawili wananipenda hivyo, Mungu awabariki sana.
na Mungu atawabariki haswa naamini ni "wanawake wko tu" ila si "wapenzi zako wawili"..

kama ni wanawake zako tu hakika Mungu atawabariki sana na kadhalika kama ni wapenzi zako

Mungu atawabariki sana ila kuna mmoja atakusababishia laana kubwa kwa machozi yatakayomtoka siku 1.
 
Wachugue hata glass ya maji wanywe huku wakitabasamu, wakijua kuwa wanaume tuna wakubali na kuliheshimu hilo sana
hakika

hatuna uwezo wa vinywaji vya gharama,kuwapeleka popote ila hata maji yataweza kuwa kiburudisho kikubwa mno

ipo siku moja watakunywa vyote walivyokua wakiviangalia kwa wenzao,vitakua mikononi mwao.
 
Atleast nimekua honest kwa upande ambao umewaficha japo nao wanajua jua sema hawajataka kuuchukulia serious.
huo upande anauwaza mwanamke ambae sijamuongelea hapo juu

na mwanamke anaewaza huo upande hawezi fanya hata 1 hapo juu

hao wa hapo juu ni wale nyeusi wanaiona nyeupe,baya wanaliona zuri

hawana sababu ya kukuchukia au kukufanyia baya kwani wanaelewa kuna "kesho"

Hao ni viumbe wa kuwashukuru sana sana.
 
Back
Top Bottom