Everything has a downsideNimesema siwezi kuaibika, kwani ukiwa maskini lazima uaibike?

SawaTsk
ndio maana umpati
Ni wapenzi wangu..kama ishu ni kukwepa laana basi soma scenario hii hapa chini halafu unambie ningefanyaje kuikwepa...na Mungu atawabariki haswa naamini ni "wanawake wko tu" ila si "wapenzi zako wawili"..
kama ni wanawake zako tu hakika Mungu atawabariki sana na kadhalika kama ni wapenzi zako
Mungu atawabariki sana ila kuna mmoja atakusababishia laana kubwa kwa machozi yatakayomtoka siku 1.
kama wanakupenda wote usiache mtu hapoNi wapenzi wangu..kama ishu ni kukwepa laana basi soma scenario hii hapa chini halafu unambie ningefanyaje kuikwepa...
Nilikua kwenye mahusiano na huyu mmoja ni single mother, nilimpenda mnoo..lakin yeye alikua kama hajali. Kuna Siku akaja kupost kitu kama anamshukuru jamaa fulan kwa upendo wake sijui kumjali lakini status ilifutwa (niliiona kwakua natumia yowhatsapp yenyewe ina mod ya ant delete). Sikumuuliza chochote nikaamua tuu kuachana nae bila kumwambia chochote.
Wakati huo pia nilikua na rafiki ambaye yeye alinifariji sana kipindi kile, na ikaja ikatokea tukaingia kwenye mahusiano.
Baadae kidogo yule single mom akarudi, na akanielekeza kila kitu kwamba hata kupost vile ilikua ni kwa sababu jamaa kwa miaka yote ile tangu mtoto amezaliwa hajawah kufanya chochote kwa ajili yake ila Siku ile alimnunulia nguo na viatu kwahyo akapost kumshukuru kwa hilo. Sababu zake zikaniingia nikaelewa, nikamsamehe maisha yakaendelea. Tukarudisha mapenz yetu upya, na akaniomba msamaha kuwa kipindi chote alikua kama hajali ila haikua vile alikua anaogopa kunionesha kwamba ananipenda sna kwa kudhan kuwa ntakuja kumuumiza nikijua hilo. Baada ya hapo tukawa deep sana mapenzini.
Siku kadhaa baadae yule mwingne akaja kuniambia kuwa ni mjamzito. Na kiukweli tukihesabu Siku pale kwa Siku ambazo tumekutana ujauzito ni wangu.
Utata ukawa namwambia vipi yule mwingne kwamba kuna mtu amenibebea Na ndo kipindi hicho tuko deep sana! Na kiukweli nisingeweza kumuacha mama kijacho au nimuumize hasa kipindi ambacho amenibebea. Sikutaka aumie hata kdg.
Ikafika Siku nikaona bora tuu nimwambie. Nikamuita nikamuelekeza, alichanganyikiwa hatar..akaondoka na kuniacha pale. Lakini badae akaniomba tuonane, akasema kuwa amefikiria situation nzima na anaona kuwa yeye ndo alinikosea, na kama asingenikosea haya yasingetokea japo pia nimempa adhabu kubwa sana..lkn hawez bila Mimi. M pia nikakiri kwamba bado nampenda.
Hapo sasa ikabid tukubaliane kuwa hata kama tunakua pamoja je ni kwa terms zipi..Mimi nikamuweka wazi kwamba makosa yashatokea lakini siwez kum treat yule mwanamke kama sehem ya kosa..yule ni bahati kwangu. Nae akakubaliana na hilo, akasema pia atajitahidi kumpenda mwanamke mwenzie mana yeye hana makosa. Mi nikamwambia zaidi ya kumpenda inatakiwa pia amheshim, kumheshim japo hawajuani. Tukakubaliana pia asiwe anakuja ghetto kwangu zaidi ya mi na yeye kukutana kwake.
Sasa bwanaa kila mtu kwa wakati wakee ananipenda mnoo, japo bado natafuta namna ya kumuacha huyu asie mjamzito
You should know that."Nothing confuses a woman, when she loves a broke man who is extremely good in bed"
Sasa we unampenda nani kiukweli kweli?Ni wapenzi wangu..kama ishu ni kukwepa laana basi soma scenario hii hapa chini halafu unambie ningefanyaje kuikwepa...
Nilikua kwenye mahusiano na huyu mmoja ni single mother, nilimpenda mnoo..lakin yeye alikua kama hajali. Kuna Siku akaja kupost kitu kama anamshukuru jamaa fulan kwa upendo wake sijui kumjali lakini status ilifutwa (niliiona kwakua natumia yowhatsapp yenyewe ina mod ya ant delete). Sikumuuliza chochote nikaamua tuu kuachana nae bila kumwambia chochote.
Wakati huo pia nilikua na rafiki ambaye yeye alinifariji sana kipindi kile, na ikaja ikatokea tukaingia kwenye mahusiano.
Baadae kidogo yule single mom akarudi, na akanielekeza kila kitu kwamba hata kupost vile ilikua ni kwa sababu jamaa kwa miaka yote ile tangu mtoto amezaliwa hajawah kufanya chochote kwa ajili yake ila Siku ile alimnunulia nguo na viatu kwahyo akapost kumshukuru kwa hilo. Sababu zake zikaniingia nikaelewa, nikamsamehe maisha yakaendelea. Tukarudisha mapenz yetu upya, na akaniomba msamaha kuwa kipindi chote alikua kama hajali ila haikua vile alikua anaogopa kunionesha kwamba ananipenda sna kwa kudhan kuwa ntakuja kumuumiza nikijua hilo. Baada ya hapo tukawa deep sana mapenzini.
Siku kadhaa baadae yule mwingne akaja kuniambia kuwa ni mjamzito. Na kiukweli tukihesabu Siku pale kwa Siku ambazo tumekutana ujauzito ni wangu.
Utata ukawa namwambia vipi yule mwingne kwamba kuna mtu amenibebea Na ndo kipindi hicho tuko deep sana! Na kiukweli nisingeweza kumuacha mama kijacho au nimuumize hasa kipindi ambacho amenibebea. Sikutaka aumie hata kdg.
Ikafika Siku nikaona bora tuu nimwambie. Nikamuita nikamuelekeza, alichanganyikiwa hatar..akaondoka na kuniacha pale. Lakini badae akaniomba tuonane, akasema kuwa amefikiria situation nzima na anaona kuwa yeye ndo alinikosea, na kama asingenikosea haya yasingetokea japo pia nimempa adhabu kubwa sana..lkn hawez bila Mimi. M pia nikakiri kwamba bado nampenda.
Hapo sasa ikabid tukubaliane kuwa hata kama tunakua pamoja je ni kwa terms zipi..Mimi nikamuweka wazi kwamba makosa yashatokea lakini siwez kum treat yule mwanamke kama sehem ya kosa..yule ni bahati kwangu. Nae akakubaliana na hilo, akasema pia atajitahidi kumpenda mwanamke mwenzie mana yeye hana makosa. Mi nikamwambia zaidi ya kumpenda inatakiwa pia amheshim, kumheshim japo hawajuani. Tukakubaliana pia asiwe anakuja ghetto kwangu zaidi ya mi na yeye kukutana kwake.
Sasa bwanaa kila mtu kwa wakati wakee ananipenda mnoo, japo bado natafuta namna ya kumuacha huyu asie mjamzito
Natamani kumtag MTU ila atanichamba mpaka nizeeke ghafla...
Wewe tokea lini ukampenda fukara?[emoji44][emoji44][emoji44]
Mkwe!"asanteni wanawake ambao mpo tayari kuaibika kisa wapenzi zenu asanteni"
Hapo mimi siwezi kufanya
I know sir!You should know that.
In Mugabe's voice
Naam mkwe hujamboMkwe!
Na ukome!Toka nilivyoacha kwako sijapenda tena fukara
Mama Kijacho, hajawahi kunikosea na ananiheshim mnoo. Japo huyu mwingne simchukii piaSasa we unampenda nani kiukweli kweli?