Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
Nimekoma kabisa
Na ukome!
Na ukome!
Mkuu sio lazima itokee.Haiko guaranteed ila katika harakat za tajadhari tu ni muhim kujipanga.Ukweli mchungu huu.
Huo ulioongea ndio uhalisia mkuu na ndio yanayotokea kila siku. Hivyo hata haina haja ya kuupulizia acha iume hivyo hivyo.Mkuu sio lazima itokee.Haiko guaranteed ila katika harakat za tajadhari tu ni muhim kujipanga.
Basi nisamehewe bure kwa niaba ya wote wanaohusikaHuo ulioongea ndio uhalisia mkuu na ndio yanayotokea kila siku. Hivyo hata haina haja ya kuupulizia acha iume hivyo hivyo.
Inasemekana mwanaume asipokuwa na pesa anaoa mwanamke alie kwenye uwezo wake, ambae hatompasua kichwa. Akizipata sasa ndio anatafuta yule alietamani kumuoa ili atumbue nae. Mke anabaki wa kulia na Mungu.Basi nisamehewe bure kwa niaba ya wote wanaohusika
Endeleeni kubarikiwa wanawake wenzangu
Barikiwa sana Mkuu!
Huwa naamini hao walonazo nao walitafuta kwa bidii wakazipata!
Na mimi nitasimama na babe wangu jamaani, tuzitafute mpaka tuzipate!!
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
Wanapendeza, ngoja waje...
Cc: mahondaw
Seriously am proud of ma wife. .she supported me whenever I needed her assistance.
She changed me alot mpaka ndugu zangu wananishangaa sikuhizi.
Alinikubali Kipindi sina kitu akanivumilia kwa hali yoyote
Alinifariji sana nilipokata tamaa
Mungu si jf nashukuru kwa hatua tuliyofikia sasa nina uwezo wa kumuhudumia yeye na mwanetu yote ni kwa uvumilivu baraka na ushauri wake.
Nina mpango wa kimsuprize Christmas hii na mungu atujalie afya furaha amani tele na maisha marefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutawavumilia msijali na tunashukuru...... Ila mkija fanikiwa mkatuona sisi sio type yenu, ndipo mtakapojua kwanini nyoka hana miguu........ Sikuhizi hakuna kumwachia Mungu
Mnyangu, longa...
Sad..sad...sad...Inasemekana mwanaume asipokuwa na pesa anaoa mwanamke alie kwenye uwezo wake, ambae hatompasua kichwa. Akizipata sasa ndio anatafuta yule alietamani kumuoa ili atumbue nae. Mke anabaki wa kulia na Mungu.
Uwii kwahio beiby huwezi kudharauliwa tukipambania maisha yetu kama wapenzi? Wewe utanitosa."asanteni wanawake ambao mpo tayari kuaibika kisa wapenzi zenu asanteni"
Hapo mimi siwezi kufanya
Barikiwa sana Mkuu!Nimeipenda hii aisee
"Nothing confuses a woman, when she loves a broke man who is extremely good in bed"
Kwaio na wewe mrembo upo na mtu mwenye shida zake za kutosha?