Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

kuna watu washatamani wangekua mke wako,ulivyosema suprise xmass umewavuruga😛

Asee mkuu usimuache huyo mwanamke,Yupo kwenye ile list kwenye kumi "hakosi mmoja"

Huyo ndio mmoja mwenyewe sasa...Hongera sana.

hahaha asante mkuu kwakweli najivunia na kamwe sijutii
 
Ngoja azipate hizo pesa magari na majumba..ndo atakuonasio wa hadhi yake, ndo atakuona huna maana

Ndo ataanza kuwaona wenye matako,ndo ataanza kukuona mweusi hutamanishi... Hahahaha...

Kuvumilia shida haimaanishi akizipata ndomtaakuwa na happy ever after.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Leo mchumba wang kwnitumia hela (TH...) na anajua Nina kazi sio kwamba Sina hela!

Ajabu Sasa mm ndo kwanza sijali (simjali wala kumpenda kihivyo)
Utakuja kumkumbuka wakati huo ameshaolewa. Hilo linanitesa wakati kama huu ninapohitaji kuoa. Nawakumbuka wale walionipenda bila kujali status yangu
 
Naamini siku moja nitakununulia ile gari unayoipendaga. Napambana kikubwa uzima sijakatika mikono[emoji3]
Haleeluyaa!!!
Na Mungu akutangulie kila iitwapo leo dear, asikupungukie daima!! Naamini ipo siku nitaacha kuning'inia kwenye mabomba ya daladala!!
 
Haleeluyaa!!!
Na Mungu akutangulie kila iitwapo leo dear, asikupungukie daima!! Naamini ipo siku nitaacha kuning'inia kwenye mabomba ya daladala!!
😟Hua naumia basi tu unavyopata shida kudamka kuwahi usafiri mtoto mzuri kama ww. Najihisi nina hatia juu yako.
 
[emoji45]Hua naumia basi tu unavyopata shida kudamka kuwahi usafiri mtoto mzuri kama ww. Najihisi nina hatia juu yako.
Usijali kabisaa jamani!! Siku yetu ikifika tununua na sisi Usafiri wetu! Kuwa na amani kabisaa my dear!!
 
Back
Top Bottom