Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

Kwa wanawake wote wanaotupenda wanaume tusio na kitu

Ingia kwenye mahusiano na mwanaume kwa kumpenda na Kama anakidhi vigezo vyake.
Kuingia kwenye mahusiano na mwanaume kwa sababu tu ana shida zake kwa hiyo unamuonea huruma Ni ujinga.
Pia kuingia kwenye mahusiano na mwanaume kwa sababu tu ana hela Wala hakidhi vigezo vyako Ni ujinga pia.
 
Hao wanawake wanaostahili maisha mazuri ni wapi!?


Hao wanawake wanaostahili maisha ya dhiki ni wapi!?
 
Ni kweli hawa wanawake wanastahili pongezi sana cha ajabu kuna wanaume wakishakisha fanikiwa huwatosa hawa wanaweka waliochuma nao mali na kwenda kuoa mwanamke mwingine ambao wengi wanakuwaga magold digger.

Utasikia anatoa vijisababu vya ovyo tu mara huyu mwanamke mimi sikumpenda kivile, hakuwa wa ndoto yangu mara sijui ikapanda ikashuka. Hii tabia imewagharimu wanaume wengi sana hata kufikia kufikisika kabisa. Tuwe makini wanaume wenzangu.
 
Kwenye maisha kuna kupanda na kushuka, mwanaume unapompata mwanamke sahihi atakua na wewe kwenye hali zote iwapo na wewe ni mwanaume sahaihi, namaanisha mwanaume unaeuishi uanamue wako sio mwanaume sababu ya jinsia peke yake.

Sasa kama ulimpata mwanamke kwa kumshawishi kwa pesa na mali mwombe Mungu visiishe au asikutane na anaekuzidi maana hapo utaachwa tuu
 
Seriously am proud of ma wife. .she supported me whenever I needed her assistance.

She changed me alot mpaka ndugu zangu wananishangaa sikuhizi.
Alinikubali Kipindi sina kitu akanivumilia kwa hali yoyote

Alinifariji sana nilipokata tamaa
Mungu si jf nashukuru kwa hatua tuliyofikia sasa nina uwezo wa kumuhudumia yeye na mwanetu yote ni kwa uvumilivu baraka na ushauri wake.
Nina mpango wa kimsuprize Christmas hii na mungu atujalie afya furaha amani tele na maisha marefu
kuna watu washatamani wangekua mke wako,ulivyosema suprise xmass umewavuruga😛

Asee mkuu usimuache huyo mwanamke,Yupo kwenye ile list kwenye kumi "hakosi mmoja"

Huyo ndio mmoja mwenyewe sasa...Hongera sana.
 
Kinachonichelewesha kuoa ni kukosa wanawake wa aina hii waliobariniwa na Mungu, japo na kila kitu pia
usiwe na haraka mkuu wanawake aina hiyo hawatafutwi huja automaticaly
 
Barikiwa sana Mkuu!
Huwa naamini hao walonazo nao walitafuta kwa bidii wakazipata!

Na mimi nitasimama na babe wangu jamaani, tuzitafute mpaka tuzipate!!
ana raha sana na ana bahati sana Aje aone comment ya mke wake huku "bichwa limpasuke"

barikiwa sana mkuu.
 
Washindwe na walegee na wasifanikiwe ila hapana

tukiomba wasifanikiwe,kuna hawa wapenzi zao watabaki na mateso

Tuombeje eti hapa anne?
[emoji23][emoji23][emoji23]wadada waangalie watu wa kudate nao.
Ukiona mtu Hana kitu halafu amejaa kiburi piga chini.
Tena wanaume waso na pesa matatizo yote yao,gubu,ugomvi,usaliti.
Ni pasua kichwa.
Kumuonea huruma mtu kisa Hana pesa na ukiangalia Ni pasua kichwa Ni uzwazwa.
 
Back
Top Bottom