Du! Hatari sana!Habari,
Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako ukakaa zaidi ya mwezi hujalipa hela zako ukifuatailia unajibiwa utalipwa baadae unakaa zaidi ya mwezi na malipo Yako hayajalipwa epukeni kama ukoma Kwa brokers wababaishaji
Nawasilisha
Nilishasema haya mahisa, maUTT kuna VILIO VINAKUJA watu wakanibeza. SIKU INAKUJA WAPENDA DEZO ETI UNAWEKA MILLION KADHAA BAADA YA MIAKA KADHAA UNAPATA BILLION KADHAA madai yao "sina muda ya kufungua na kusimamia biashara wala miradi"Habari,