Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

hili sina majibu japo wengi husema hivyo, Ila inanilazimu kuupenda hivo hivo tu
Bado hujaijua WWE vizuri wewe.
Kuna tofauti kati ya WRESTLING na PRO WRESTLING.
Ktk Pro Wrestling matches are predetermined. Rehearsals zinafanyika b4 matches.
Ungekua unafatilia vizuri ungejua..hasa kwanini WWE wameamua kuanzusha Performance Center.
Tatizo mna gugo sana.
 
spear tamu ilikua ya bob lash hata mkiwa 10 anawazoa wote
ila vicky guererro alipata tabu sana na under taker

chriss jericho alikua ndio mwanangu
Inakuta spear ya Bill GOLDBERG?
Bob Lashley ...dominator ndo ilikua matata
 
Macho man uuuugghu yeahhh... style yake hakuna aliyeiweza hadi Leo... Hata aliyeijaribu... Shane yake ni sawa na ya Jeff ..

Kuna marehemu Chris Benoit alikuwa anakuvuta kichwa huku kakubana..na kabla hajakuvuta anakunja ngumi anakaza mkono. Kisha anainyesha Kama atakaba mtu hivi.. Dah watu wanashangilia..
Haha long time sana.
Unakumbuka Summerslam ya 2004 Randy Orton v Benoit...dah long time sana asee WWE is now dead
 
They are professional trained performers.
Moves zote wanazofanya wanasaidiana ili ionekane ni kweli kitu kinafanyika kwa nguvu sana, ule ulingo si mgumu kama unavyodhani pamoja na kwamba huwa sometimes wanaumia sana lakini wanajua namna gani ya kupigana na watu waone ni kweli jambo linafanyika na kuumizana.
Kwa mfano:
Mtu akirusha ngumi anatakiwa akunje sura ile kuwashilia kuwa anatumia nguvu kuirusha... vile vile anaepigwa anatakiwa aoneshe kuwa nguvu imetumia hivyo kwa pamoja akipigwa ngumi nae anajiangusha au anarudi nyuma kwa kupepesuka kuonesha uhalisia wa jambo.

Pia mtu anaepiga ngumi huwa anapiga miguu chini ili ionekane ni ngumi inatoa kishindo kikubwa kumbe ni miguu ila hii inafanyika kwa pamoja hivyo mtu si rahisi kugundua.

Ulingo umefungwa microphone ambazo zimeunganishwa kwa speaker hivyo mtu akianguka kishindo kinakuwa kikubwa kuonesha impact kubwa ku prove hili ni kwamba hata waangaliaji wote ndani ya ukumbi wakishangilia sauti ya kishindo kutoka ulingoni husikika.

Mshindi anakuwa amepangwa na refarii ndo mwongozaji kuhakikisha hilo linafanyika tena kwa usahihi na muda uliopangwa. N:B huwa mapambano yanapangiwa muda wa kuisha kama dakika 5 , 10 n.k.

Its real intertainment kwamba kinachotokea kinakuwa kimepangwa na jambo linafanyika na watu wakiona.

Wanasaidiana kuhakikisha mtu anaepigwa haumii au akipata maumivu ni kidogo.

Tombstone/ msumari ya undertaker kichwa cha anaepigwa hakibamizwi chini kama unavyoona, mtu anaepiga tombstone anatakiwa ahakikishe kichwa cha anae pigwa kiko juu kidogo ya magoti na anamshikilia kwa nguvu na anae pigwa anamshikilia mgongoni kwa nguvu zote ili asiteleze au kupigizwa chini kweli, kile kishindo kinachotokea kinatokana na magoti ya undertaker kupiga chini kwenye ulingo na si kichwa. Baada ya kupiga tombstone anamuachia kwa kumpeleka mbele ili aangukie mgongo ndo tombstone inakuwa imekamilika.

Chokeslam/ kumnyanyua mtu kwa mkono mmoja na kumpigiza chini ...
Anaenyanyuluwa anajinyanyua ili iweze kufanyika na kumfanya anaenyanyua aonekane ana nguvu nyingi kweli za kumnyanyua mtu kwenda juy kiasi hicho kwa mkono mmoja. Kinachofanyika ni anaenyanyua anamvuta kwa chini kidogo anaenyanyuliwa ili kumuashiria ajianze kujirusha ili wafanye kwa pamoja kunyanyuliwa na yeye kujinyanyua .

Wanamieleka ni wananguvu kweli ila mengine yanafanyika kwa kusaidiana na kurahisishiana.
Umejitahidi kuelezea lakini umeandika baadhi ya pumba.
Moja usema mshindi anapangwa na referee?
like seriously
Kuna kitu kinaitwa WWE CREATIVE TEAM hao wanadeal na scripts storylines moves etc
 
Kuna move moja inaitwa belly to belly suplex ni shida
Kuna sweet chin music ya rafiki yake tilipo echi
Go to sleep ya bwamdogo CM punk
Masterlock ya chris masters
DDT
F5 ya brook lesnar
Styles clash
Alafu kuna jamaa alikuwa TNA wakuitwa sunjay dutt,alikuwa na style za ajabu hata mysterio hamfikii
 
The undertaker alikuwa anatumia staili iliyokuwa inaitwa MSUMARI,
Kumtaja undertaker bila CANE ni sawa na kutaja pilau bila kachumbari,

DX a.k.a D generation, mzee mwenyewe SCHWAN MICHAEL na TRIPLE H huyu jamaa huwa harudi nyuma hata muwe 50,

Napenda sana style za mistaaaaaaaaa kene................... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] anayejua anisaidia kujaza hapo [emoji115] [emoji115] juu kwenye gap
Ya kane inaitwa chokeslam
 
watu wa fujo ndio walikua wanangu kipindi kile combo ya DX
kisha mr macmen
babu finley
akaja edge na wanae
randy orton akawa kiboko ya mabishoo wote wwe
Yani kipindi icho WWE ilikua WWE kweli..
Pale Orton huku Edge huku Cena huku jbl huku DX huku huko ECW kulikua na CM PUNK na Bob Lashley kibabu lashley na Hoornswaggle na kina chavo guerrero.
Ukija smackdown kuna kina undertaker,
Saivi hamna kitu vile vizazi vishapotea.
Randy na Cena umri unawatupa sasa ingawa they are there to stay
 
Utotoni Mchezo wa mieleka unapendwa sana, tupia kumbukumbu yako ya styles mbalimbali ulizozipenda kutoka kwa wanamieleka mbalimbali, Mimi naanza na;

1. Tombstone Piledriver - The Under Taker (Amestaafu rasmi Jumapili iliyopita)
2. The Queen's Crossbow - Cody Rhode
3. Six One Nine (619) - Ray Mysterio
5. Spear - Edge ( Hii ilikua tamu kuliko zote)
6. The People's Elbow - The Rock
7. Stunner Cold- Stone Cold
8. Attitude Adjustment - John Cena
9. Atomic Leg Drop - Hulk Hogan
10. RKO - Randy Orton (Viper)


Wengine wapenda WWE tuendelee
Spear ya Goldberg ndo ilikuwa tamu kwa upande wangu.
Ni combination ya power, speed, agility na execution. Mara nyingi akitoa moja basi ukue ni K.O tayari.
 
Yani kipindi icho WWE ilikua WWE kweli..
Pale Orton huku Edge huku Cena huku jbl huku DX huku huko ECW kulikua na CM PUNK na Bob Lashley kibabu lashley na Hoornswaggle na kina chavo guerrero.
Ukija smackdown kuna kina undertaker,
Saivi hamna kitu vile vizazi vishapotea.
Randy na Cena umri unawatupa sasa ingawa they are there to stay
Cena kipindi kile hata umlete tembo atambeba ilikua lazima mieleka ufuatilie
beef ilikua ya jeff hard na randy orton
edge vs undertaker
matt hard na big dad v
randy orton anachukiwa na kila mtu ila r k o inapendwa na kila mtu
mieleka ilikua zamani bana Triple h hapigiki
pambano la cena na batista haliishi
619 ukipigwa lazima ukubali
 
Umejitahidi kuelezea lakini umeandika baadhi ya pumba.
Moja usema mshindi anapangwa na referee?
like seriously
Kuna kitu kinaitwa WWE CREATIVE TEAM hao wanadeal na scripts storylines moves etc
Hapana sijamaanisha referee anapanga.

Nilichomaanisha ni kuwa script inapangwa na wanaoandaa ( hiyo script team uliyoitaja) na referee anakuwepo pale kuhakikisha kuwa script inafuatwa na muda wa pambano kuisha unafuatwa pia ana mawasiliano na script team kujua nini kinafuata muda gani mtu flani ataingilia kuinterupt mechi n.k.

Ungezea maujanja mkuu na nilipokosea kosoa na rekebisha.
 
Hapana sijamaanisha referee anapanga.

Nilichomaanisha ni kuwa script inapangwa na wanaoandaa ( hiyo script team uliyoitaja) na referee anakuwepo pale kuhakikisha kuwa script inafuatwa na muda wa pambano kuisha unafuatwa pia ana mawasiliano na script team kujua nini kinafuata muda gani mtu flani ataingilia kuinterupt mechi n.k.

Ungezea maujanja mkuu na nilipokosea kosoa na rekebisha.
Hapo nimekuelewa vizuri Mkuu.
Kweli referee kazi yake kuhakikoshwa script imefuatwa...hasa kuhusu muda wa kumaliza match... kama ni dakika tatu zisizidi si unajua wenzetu kule muda ni mali
 
Back
Top Bottom