Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo tom and jerry inaitwa heavenly pussHeavenly puss
Heavenly puss
Hiyo tom and jerry inaitwa heavenly puss
Last air bender naikubalAvatar the last air bender
My fav one, hadi kuiandika kama Id jfLast air bender naikubal View attachment 734965
Yaan ukiangalia miaka hizo episodes zilipotika ndo utachoka, nyngi ni 1948 hadi 50, jaama walikuwa mbali sana kifikra toka miaka mingi, , mkuu hizo tom and jerry nyingi ni mafundisho ya jinsi binadamu tulivyo kitabia na kimawazo piaView attachment 734962 hapo tom anaulizwa na malaika kwa nn ulkua unamtesa jery hahaha
Aisee sema za siku hizi ni kama hazina ubora hivi !!Yaan ukiangalia miaka hizo episodes zilipotika ndo utachoka, nyngi ni 1948 hadi 50, jaama walikuwa mbali sana kifikra toka miaka mingi, , mkuu hizo tom and jerry nyingi ni mafundisho ya jinsi binadamu tulivyo kitabia na kimawazo pia
Aisee kuna jamaa katuma sijui vitu gan hapo juu hadi simu zinastakSuper striker
Mkuu kuna ile tom alikua anafugwa na binti mmoja hako kabinti kanamuwekea maziwa kwenye kopo anyonye kisha anaondoka. Baadae vikaja vinyau vitatu vikawa vinaimba eti mamaaaa mamaa yokelaaa mayokelaaaa hafu vinamuogesha tom na kumvisha pedi nilicheka sana.Tom and jerry nayo ikubali ni ile tom anaenda mbingun hahah aisee anatakiwa ampe jery karatas ya kusain ili aingie mbinguniView attachment 734956
[emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji124] [emoji124]Mkuu kuna ile tom alikua anafugwa na binti mmoja hako kabinti kanamuwekea maziwa kwenye kopo anyonye kisha anaondoka. Baadae vikaja vinyau vitatu vikawa vinaimba eti mamaaaa mamaa yokelaaa mayokelaaaa hafu vinamuogesha tom na kumvisha pedi nilicheka sana.
Nyingine tom na jerry walivunjiwa nyumba wakahamia mtaani kumbe wakawa wanaongea kama mtu wakawa marafiki wakaokotwa na binti mmoja aliyekua anateswa...
Kuna kawimbo anaimba yule binti eti "when i say i miss you, close my eyes...
Zinaitwaje nazitaka kweli, unaweza weka picha za hizo scene[emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji124] [emoji124]