................Mambo ya Sterling kufia kwenye mauwa hayo!mtu anapigwa risasi pale ilipopita panaanza kuwa na ishara ya damu kabla hapajatoboka.
Hatari sana!
Rakhi Sawant alisema Tanushree Dutta alitaka kumbaka
Yeah niliona ile.
Rakhi kichaa yule....ila mzuri!
Mkuu yule mzuri ? dah kweli kila mtu na jicho lake
Shukran sana kaka.
Hahaha!! Umetisha Mkuu..Sijui uzee au nini picha yangu ya mwisho kuangalia ya kihindi ilikuwa aandhir tofaan mwaka 1986 staring alikuwa shash kapoor humo bibie hema malin pale shatrunghan sinha jambazi dany denzongpa
Heshima kwako brother kaka,Mi nawapendaga wachuchu wao tu.
Tanushree Dutta....Rakhi Sawant....
Sawa-sawa. Mimi mw enyewe nikiona filamu sielewi/haini vutiii huwa naachana nayoBollywood wamekuwa wapuuzi nowadays.. Movies zao mbovu sana..
Kama hii thug of Hindustan na 2.0 nilishindwa zimaliza nilikaa nusu Saa nikasepa..
Ukitaka burudani za kihindi ingia Tamil.. Kuna dude linatoka mwezi huu.. KGF.. Angalia trailer
Ahsantee.Bollywood huwa napenda comedy zao
Wanachekesha sana
SwadaktaHizo ktk bold si mchezo!
Nadhani hii ilikuwa ni miaka ya nyuma kidogo kabla ya ukuaji wa kasi wa teknolijia labda waweza kuongezea pia Udhaifu katika utunzi wa stori.................Mambo ya Sterling kufia kwenye mauwa hayo!mtu anapigwa risasi pale ilipopita panaanza kuwa na ishara ya damu kabla hapajatoboka.
Hatari sana!
Nadhani tunawezakukubaliana ya kwamba karne zinavyosonga mbele binadamu tunazidi kupunguza ujinga kwa kiasi flani..Mfano Maendeleo ya teknolia na tiba za magonjwa mbali mbali.Mkuu upo mbali sana unazungumzia mambo ya miaka ya 90 huko. Hebu tafuta vitu vya post 2000 uone.
Ahsantee.
Kwa kiasi flani wapo vizuri comedy.
Kuna romantic comedy ya mwaka 2006 yakuitwa Pyaar side effects (The Side effects of love) imechezwa na Rahul Bose ni nzuri inachekesha mno.
Nadhani tunawezakukubaliana ya kwamba karne zinavyosonga mbele binadamu tunazidi kupunguza ujinga kwa kiasi flani..Mfano Maendeleo ya teknolia na tiba za magonjwa mbali mbali.
Miaka ya nyuma miaka ya 90 lazima mapungufu yaonekana kwa Wakati huu,hata Mambo ya sasa huenda karne za 30 au zaiidi vizazi vyetu vikaona mapungufu mengi katika Mambo yetu mengi tuliyoyafanya.
Turudi katika burudani.
Unamfahamu Jammwal..?
Wengine humuita Tony Jaa wa India.
Jammwal ni actor kuna filamu yake kali Mara ya kwanza kuiona skuamini inaitwa Commando a one man army.
Huwengine wanasema analeta mapinduzi ya filamu za mapigano India.
Kacheza pia filamu ya force ya mwaka 2014 na John Abraham yeye kacheza kama adui.
Huyu bwana ni hatari sana.
Ahsantee.
Kwa kiasi flani wapo vizuri comedy.
Kuna romantic comedy ya mwaka 2006 yakuitwa Pyaar side effects (The Side effects of love) imechezwa na Rahul Bose ni nzuri inachekesha mno.
Ongeza hapo rena Roymovie zilikua enzi izo,wachuchu wakali na mastering wa ukweli
raveena tandon
kajol
sonum
karishma kapoor
shakti kapoor
samrat
dimple kapadia
madhur dixit
juwli chawla
nasoordin shah
Umeangalia bahubali?Dah mimi na Tamili na vitu viwili tafauti, siwezi kabisa angalia michezo yao inanishinda aisee.