Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Juzi nilikuwa natazama Filamu ya Sanju ipo vyema.

Bwana Mdogo Ranbir Kapoor kafanya vyema.

SANJU-Historia ya Maisha ya bwana Sanjay Dutty huku ikijikita zaiidi katika Madawa na Gun- Mabomu ya Bombay 1993.

Wengine hudai labda ilikuwa ikijaribu kumsafishaa Bwana Sanjay.

Jamaa alikuwa Mtata Warembo zaiidi ya 100 bila kusahau kumvua Night Dress Mrembo wa Rafiki yake

Filamu ipo vyema.

It's Emotional,It's Sad,It's Funny....It's Bittersweet.

Bollywood Star bad boy.Sanjay Dutty.




Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mashabiki wa Sanjay Dutt wengi wao hawaikubali hii filamu, Kuna mambo mengi kuhu Sanjay hayamo ndio mashabiki wake wanalolilia. Maisha yake ya miaka ya 90 na 2000 mwanzoni ambacho ndicho kipindi alchotengeneza mashabiki wengi sana.

Ndoa zake 2 za awali kabla ya hii aliyonayo. Utata na familia yake juu ya mke wake wa sasa kabla hajamuoa.
Urafiki wake mpaka na uhasama na aliekua rafiki yake wakaribu Muongozi wa filamu Sanjay Gupta
Mahusiano yake na Madhuri Dixit

N mwenendo wa maisha yake kiujumla kwa kipindi hicho.
 

Hii nyimbo sahivi ndio inayokamata kwenye chati zote
 
Naitafuta sana Movie inaitwa Shoot out at Wadala ya John Abraham
 
Nimeanza kutazama movie za Bollywood zamani kidogo Ila filamu bora za muda wote kwangu ni like Stars on Earth,
Bajrangi Bhaijaan, Drshyam, na Veer Zaara. Zipi ni filamu zako bora za muda wote?


 
Mimi zamani yangu ilikuwa andhal kanoon, ganga jamunaa salaswati, sholay, naseeb, mard, hapo kina dharam (dharmendra )amith batchan huku hema malin kule amjad khan pale neetu Singh kule Aruna Iran bado wabichi kabisa
Hizo ndio zenyewe yaani zilikuwa Tamu sana hasa mard tangewala na ganga jamuna saraswati Ongeza hizi:- Kaalia, Mr. India, LOHA na Disco dancer.

Siku hizi siangalii kabisa movie za Hao jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…