Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Bila kusahau hizi story bomba napenda pia na songi zote zilizomo kwenye hizi filamu...
Jo Jeeta Wohi Sikandar
Muqaddar Ka Sikandar
Mr India
Trishul
Gopi Kishan
Hum Kisise Kum Naheen
The Great Gambler
Mere Apne
Amar Akbar Anthony
Hatya
Zanjeer
The Train
Kati Patang
Amar Prem
Roti Kapada Aur Makaan
Nami niendeleee....?
 
Balaa kabisa mkuu .yaan wahind kwa kutunga storry wanajua aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafuta movie inaitwa DHADKAN, kama ni mpenzi wa love story utaipenda sana
 
Kuna movie moja naitafuta. Star ni Bob Deo na Akishay Kumar. Movie hii Akshay anamchezea Bob Deo mchezo mbaya, wanatoka wote kupiga masanga, wakati Deo kazima wanabadilisha mademu. Deo analala kwa Akshey, na Akshey ana kwenda kwa Deo. Sasa hapa Akshay anamuua demu fulani Kisha anamlaza kwa Deo then demu wa Akshey anasepa Kisha jumba bovu linamuangukia Deo na kupelekwa Segerea. Wakati Deo yuko segedansi Akshey anakwenda kufanya mpango wakuiba pesa kadi ya Bank nakutak kuhamishia mkwanja wote Katika akaunt yake na kutaifisha nyumbani. lkn baade Deo anafanikuwa kutoroka Segerea na kuanzia kumsaka Akshey. nimeeleza kwa kifupi. Ila ni bonge la movie. Nimesahau jina.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…