Wafia muvi wenzangu za kihindi nimeweka jukwaa hili spesheli kwa ajili yetu.
Sio kwamba sipendi muvvi zingine la hasha huwa naangalia sana tu isipokuwa za kibongo! iIla bado itabaki kwamba wahindi wako vizuri katika industry tena sana sababu wao wameanza kuekti mwaka 1950. Ziko muvi ukiangalia utapata hisia yaani zitakugusa hadi hata ulie.ukisema action kidogo wahindi wako vizuri kama Hollywood tu kwa sasa!
Kuna muvi za Kihindi ukiangalia kweli zitakugusa tena zikiwa translated yaani utaenda hata kukojoa! Hizi ndo muvi ambazo sichoki kuona:
Housefull3
Dilwale
Fan
Rowdy Rathore
Bombay Velvet
Super Man Shenshaa
Dabbang2
Singhan Return
Fying Jyhaat
Katika nnaowakubali kweli nitakuwa mchoyo nisipomtaja akshay kumar huyu ndo my favorite kuna shahrukhan, Salman Khan, Ajay wote hao ni shida tupu!
Hembu weka na ww na maujanja yako unayojua kuhusu wadosi.