Ila wewe bwana wenzio kitonga cha asubuhi kimetugomea ila ndio huachi kukitaja ili tuumie roho au..?
Mimi nimeshazoea sasa ndio kitonga changuKatoto hakajali hisia zetu[emoji1787][emoji1787]
Yan kile cha mb 300 kinavyosumbua, natamanig nibamize simu
Hiyo ni drama gani? Nimependa ulivyoelezea kifupi inaonesha ni kaliIlipoishia last week inaelekea kuwa moto Girlfriend wa Han Seung Jo ametua na identity mpya anataka kupambana na dingi yake jamaa.
Kama unavyojua kwa thriller zilivyo mbali na battle za akili kuna kumwagana damu kitu ambacho Seung Jo anahofia Jang Ji Soo asije kudhurika maana dingi yake ni very scary.
Naona Ijumaa haifiki haraka
Ndio vikojeKuna vitonga vya unlimited ni wewe tu
NumbersHiyo ni drama gani? Nimependa ulivyoelezea kifupi inaonesha ni kali
King The Land ni nzuri sanaKuna mtu ameiona hii vipi ni nzuri maana nimekuta inatrend huko Netflix View attachment 2678974
Hii ni drama nzuri sana.Kuna mtu ameiona hii vipi ni nzuri maana nimekuta inatrend huko Netflix View attachment 2678974
[emoji3][emoji3][emoji3] hadi wazee wa taste mmeikubali, ina upekee gani kwani mbona mimi naona kawaida tu. Naona vibe lilelile la What's wrong with secretary Kim, business proposal and the like...Hii ni drama nzuri sana.
Hii ina utofauti sana tena secretary kim inaweza pigwa chini kwa uzuri[emoji3][emoji3][emoji3] hadi wazee wa taste mmeikubali, ina upekee gani kwani mbona mimi naona kawaida tu. Naona vibe lilelile la What's wrong with secretary Kim, business proposal and the like...
Eti "wazee wa taste" 😂[emoji3][emoji3][emoji3] hadi wazee wa taste mmeikubali, ina upekee gani kwani mbona mimi naona kawaida tu. Naona vibe lilelile la What's wrong with secretary Kim, business proposal and the like...
Shukran mkuu nitaitafutaNumbers
Hii drama ni tastes zako kabisa[emoji23]
Variety show.
Bros on Foot
Humu wana challenges mbali mbali ila ikifika kwenye kupika nimeona kuna tofauti ya mapishi ya wanawake wa kikorea na akina oppas and ahjussi.
akina ahjussi wanapika kisafi yaani kuonja mara chache tena kwa kijiko tofauti,kuja kwa akina ahjumma ,ahjumooon hawa wamama ni shida wanaonja kwa mdomo kwenye mwiko huo huo na kuurudisha jikoni
Mimi dating show zimeniteka hata silali nikilala naziota [emoji26]
Nimetoka kuichek love catcher in bali, humu wengi wanafanana na celebrities ingawa wakaka sio wakal sanaaa
Basi io celebrity ilikua inanitia uvivu kutazama ep 1 nimeitaza karib siku tatu tofauti leo nimefanikiwa kufika mwisho wa ep 1
Now am hooked, kujua kumbe kuna kastori behind and na take some notes ya kua influencer[emoji1488]
Nimejikuta napiga ep 3 chap chap hapa inanipa mawazo nifike niendelee.
Celebrity ni nzuri kati ya favourite character wangu ni Oh Min Hye(Jun Hyo Seong) llicha ya hateful character yake.Basi io celebrity ilikua inanitia uvivu kutazama ep 1 nimeitaza karib siku tatu tofauti leo nimefanikiwa kufika mwisho wa ep 1
Now am hooked, kujua kumbe kuna kastori behind and na take some notes ya kua influencer[emoji1488]
Nimejikuta napiga ep 3 chap chap hapa inanipa mawazo nifike niendelee.
Huko nimezipumzisha kwa muda nipo na hizi wanazohangaika kukamilisha mission kuna hii the backpqcker chef ni mwendo wa kupika tu. Watu wanne wanapewa mission kali kali za kupikia wateja mbali mbali mfano wanajeshi,wacheza soka,wale ahjummas wanaozama baharini etc unakuta wanapika msosi hadi wa watu 400 kwa masaa manne tu