Celebrity ni nzuri kati ya favourite character wangu ni Oh Min Hye(Jun Hyo Seong) llicha ya hateful character yake.
Baada ya kujua alikuwa ni K-Pop Idol hapo nyuma nikafall zaidi
View attachment 2683250
Eeh hiyo hatari ntaitafuta
Hivi ile ya seun gi mpya ambayo watafanyia dubai sijui ishaanza? Nimeisahau jina sijui travela au nin
Wale wa The Glory wamezidi aisee nafuu yeye ana cute side[emoji23]Min hye anafanana kichaa na wale villainous wa the glory
Wale wa The Glory wamezidi aisee nafuu yeye ana cute side[emoji23]
Wana jukwaa hivi njia rahisi ya ku download series kupita site za kiss Asian na my Asian tv ni zipi, maana zinanishinda nimezoea nkiri ukibofya chapu teyali
Ipo tayari?
Yah nimeichek Jana
umeipatia wapi?
Unafiki na faking ni nature ya wanawake wote[emoji1316][emoji23][emoji23]Umempenda tu
Ila unafki ana uweza akiwa live insta na akitoka duh
Unafiki na faking ni nature ya wanawake wote[emoji1316][emoji23][emoji23]
Anza na Perfect Stranger Kisha CelebrityHello K drama lovers,
Mimi huwa sichangii lakini huwa nascreenshot recommendation zenu nazifanyia kazi.
Last week nilichukua Good Bad mother IPO njema sana.
Leo nimeanza Dr. Cha nimecheck episode 2 Iko [emoji91].
Am looking forward kuchukua;
Celebrity
Perfect stranger
Devorced attorney Shin
Thanks Guys,
Good night
Hizi Drama za countryside zina vibe ya kipekee sana
Summer strike
Hometown cha cha cha
[emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]wabibi wakiwaona mdada na mwana wako pamoja wanahisi tu ni newlywed,huwa inanifurahisha sana wanavokana hao walioulizwa hanyeeeoooo[emoji1787]Sana halafu wale wabibi wanapatana sana na vijana wa seoul kuliko wadada. Mdada atasuntwa wee ila ka mkaka katachekewa na kusifiwa sana ,huwa napenda hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]