He's a versatile actor.
roho ngumu yeye
ucheshi yeye
ukatili yeye
park sung woong amebarikiwa, hapo ndipo ninapowapenda supporting actors wa korea.
takribani wote ni vinyonga
Yani kitendo cha kumshauri awe na nyama ujue ndio unamtoa kwenye kundi la warembo kulingana na vigezo vyao, mambo ya vishundu na na nyama nyingi ni ya kwetu huku sisi wabantu.Ila pisi za kikorea zina sura nzuri sana shida yao hawana nyama kabisa ni hawana vishundu kabisaaaa hata vya kuzugia sijui hawali au ndio mambo ya DNAView attachment 2741970
Naelewa ila mademu wa korea wamezidi ni flat screen kabisa bora hata wazunguYani kitendo cha kumshauri awe na nyama ujue ndio unamtoa kwenye kundi la warembo kulingana na vigezo vyao, mambo ya vishundu na na nyama nyingi ni ya kwetu huku sisi wabantu.
Hello guys!
Naomba recommendations mpya za romantic, family or business drama.
Umeona na wewe...nimeishia ep 14 nimeona uvivu kuimaliziaMpya hazina mzuka siku hizi sijui ndo kuzeeka,huku wengi wanaisifia king the land ila kwangu naiona ya kawaida mno imezidi uongo,waweza iangalia,jaribu business proposal, descendants of the sun japo sio mpya,the liar and his lover
Thanks 😍Mpya hazina mzuka siku hizi sijui ndo kuzeeka,huku wengi wanaisifia king the land ila kwangu naiona ya kawaida mno imezidi uongo,waweza iangalia,jaribu business proposal, descendants of the sun japo sio mpya,the liar and his lover
Umeona na wewe...nimeishia ep 14 nimeona uvivu kuimalizia
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Niumalize mwendo sasa
Real has come 49 na 50
Moving (Naisubiri ikamalikike niiangalie kwa marathon ni nzuri)
Ongoing nazoangalia
Destined with you
My lovely boxer( Drama za KBS sio boring )
My lovely liar
Killing vote
Behind your touch
Longing for you (ishakamilika)
Spoiler:First responders nilicheki s1 ni nzuri lakini nimesoma comment walichokifanya s2 unaambiwa director na muandika stori wakikamatwa watapigwa[emoji23][emoji23]
Zilizokamilika ambazo ni kali
NOT OTHERS
MY DEAREST Part 1
Aliyeangalia a time called you na mask girl vipi ni kali?View attachment 2746401
Historical drama bora 2023 ikifatiwa na our blooming youth
Ngoja nikiishiwa cha kuangalia nitaitupia jichoIyo Mask girl umarekani mwingi nimetizama had ep ya pili
Huko mbele nasikia anabadilika actress na wanamsifia ndo nitaimaliza sababu hiyo ila siyo kivile
Na bado tunasubiri vagabond 2 ata wakiitoa 2090 tukiwa hai tutaingalia[emoji23]Sio mbali kama tumesubiri Arthdal miaka, hospital playlist Mwaka
Aah kikubwa afya na uhai
Maana ni worth waiting
Ila Gil chae, sometime wadada tunazingua kwenye kufanya maamuzi
Kalii sana
View attachment 2747703
Moving seriesInaitwaje
Inaitwaje