Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Na bado tunasubiri vagabond 2 ata wakiitoa 2090 tukiwa hai tutaingalia[emoji23]

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Vagabond naisubiri kwa hamu sana aiseh, itakuwa vizuri sana kama wataifanya wakati ambao haitawalazimu wao kubadili main characters kutokana na sababu mbalimbali, ikitokea wamewabadilisha itapoteza mvuto.
 
Huyu Deok Man nilimkubali sana.
 
Sema kuna namna fulani hivi Lee Bang Won alikuwa na tamaa sana ya madaraka, kwa kiwango kikubwa sana alionyesha ali ya kupigania sana mpango wa kuiangusha Goryeo baada ya kugundua kuwa baba yake ndiye atakaekuwa mfalme, akiwa na target ya kuwa Kinga anaefuata.

Kama ndugu zake wangeonyesha dalili za kuutaka ufalme wakati ule mpango ndio unasukwa, sidhani kama wangeishi. Alikuwa desparate sana kiasi cha kumuua Poeun aliyeonekana kikwazo, mtu ambaye aliheshimiwa sana na baba'ke pamoja na Sambong na hakuna namna yoyote ile wangethubutu kumuua.
 
Hivi chinese drama huwa mnazipata kwenye website gani?
Nakupa recommendation
1. A fist within four walls(2016) hii ilikuwa drama yangu bora kwa mwaka 2016, hata hong kong was best drama of year.
2. Righteous fists(2022) ni moja ya drama kali kwa mwaka jana

Waliocheza hi hao hao, na story zinataka kufanana ILA ni tofauti. ZOTE NI ZA MOTO, STORY NZURI HALAFU DOZI KWA KWENDA MBELE. KUNA LIJITU LINAITWA IRON SHIELD HALIPIGIKI, WALA HALISIKI MAUMIVU.
UTAKUTANA PIGO LINAITWA BAJIQUAN( BAJI FIST), Muay Thai & Wing Chung
 
Mvaa Kobazi mi napenda jinsi ma producer, Wanavyo tuwekea hivi vi actor vitoto🤣😂.
👉Kile Cha kwenye tale of nokdu
👉Na hiki Cha kwenye river where the moon rises - vina chekesha😂🤣
Vinanogesha sana.

Kwenye hii picha chini hivi vitoto umevitambua? viliigiza drama nyingi sasa hivi vimekua.
 
Hicho Cha kike Kama naki jua, hebu taka drama zake😀
Mkuu unamsahau vipi huyo wa kike kaigiza drama nyingi zamani kama mtoto.

Dong yi, Gumiho tales of fox's child, Iljimae,, The moon embracing the sun, Gye baek Backstreet rookie, love in the moon light nk



Wa kiume
Iljimae , Royal gambler, Hotel del luna, The moon that embraces the sun, the crowned clown, Giant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…