Hivi bae suzy kacheza drama gani? Mimi namuonaga tu hata sijui anafanya nini. [emoji85]aigoooo unaonekana una huzuni kubwa sana kwa kumkosa minoz kwa miaka 2 kuanzia sasa, sijui mke mwenza mtarajiwa Bae suzy nae ana huzuni kiasi gani.
Hii OST ninayo kwenye simu yangu,naipenda sana.omo omo omo ..... pole sana japo kuwa ni maumivu ila kuwa mvumilivu ni miaka 2 tu.
japokuwa hujachagua wimbo unaoupenda ila nimeamua kukupigia huu wimbo unaoitwa painful love ambao ni ost kwenye THE HEIRS kutoka kwa Minoz oppa kwa ajili ya kuondoa mawazo na huzuni
Katika OST zooote naipenda ost ya GOODBYE MY LOVE kwenye drama ya FATED TO LOVE YOU, yani hata muda huu naisikiliza, muimbaji ni Ailee.Hii OST ninayo kwenye simu yangu,naipenda sana.
Ila jamani The Heirs OST zake zote kali,bonge la drama yani.
Hujaangalia Gu family book?Hivi bae suzy kacheza drama gani? Mimi namuonaga tu hata sijui anafanya nini. [emoji85]
Siipendi kabisa,nimewahi kuiangalia yote kishingo upande lakini siikumbuki.Hujaangalia Gu family book?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we sema humpend Lee seung gi na dimpoz zake. Hata my girlfriend is a gumiho nlikata tamaa ya kuangalia wewe ulivyosema na mbaya. Ila kama unasema Gu family book pia mbaya ngoja niiangalie itakuwa nzuri tuSiipendi kabisa,nimewahi kuiangalia yote kishingo upande lakini siikumbuki.
Gu Family Book,My Girlfriend is Gummiho na Bridal Mask ni drama za kikorea nisizozipenda kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiiiiiiii haki sizipendi balaa. Yani hata nijilazimishe vipi naona mbaya tu![emoji23] [emoji23] [emoji23] we sema humpend Lee seung gi na dimpoz zake. Hata my girlfriend is a gumiho nlikata tamaa ya kuangalia wewe ulivyosema na mbaya. Ila kama unasema Gu family book pia mbaya ngoja niiangalie itakuwa nzuri tu
[emoji23] [emoji23] ngoja leo nikaanze ya gumiho nije kukudolishia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiiiiiiii haki sizipendi balaa. Yani hata nijilazimishe vipi naona mbaya tu!
Poaaaaa[emoji23] [emoji23] ngoja leo nikaanze ya gumiho nije kukudolishia
Itafute. HutojutaHapana dear
nashindwa kuyapakua hayaKama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Sawa dear, nitakupa mrejesho.Itafute. Hutojuta
Nilipoingia na kuanza kukutana na avatar yako nikadhani umepotea njia... kumbe ni mimi ndie nimepotea njia kwa kudhani nimeingia kwenye Series Special Thread kumbe nimeingia kwenye Korean Drama!!!Acha tu,kumbe wana vipaji na akili masikini [emoji24]
Hii series imeniliza sana jamani!
Nilipoingia na kuanza kukutana na avatar yako nikadhani umepotea njia... kumbe ni mimi ndie nimepotea njia kwa kudhani nimeingia kwenye Series Special Thread kumbe nimeingia kwenye Korean Drama!!!
I guess uko poa lakini!!!!
Hadi sasa nazipenda na bado huwa naziangalia mara moja moja though mambo ya kukodoa macho kusoma subtitles ndiyo yananikera na sina jinsi ya kukwepa!!Lakini nakumbuka zamani nawe ulikuwa unazipenda hizi, au?
Yeaaaaah, am good,
Thanks