Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aigoooo unaonekana una huzuni kubwa sana kwa kumkosa minoz kwa miaka 2 kuanzia sasa, sijui mke mwenza mtarajiwa Bae suzy nae ana huzuni kiasi gani.

yevTGsi.jpg
Hivi bae suzy kacheza drama gani? Mimi namuonaga tu hata sijui anafanya nini. [emoji85]
 
omo omo omo ..... pole sana japo kuwa ni maumivu ila kuwa mvumilivu ni miaka 2 tu.
japokuwa hujachagua wimbo unaoupenda ila nimeamua kukupigia huu wimbo unaoitwa painful love ambao ni ost kwenye THE HEIRS kutoka kwa Minoz oppa kwa ajili ya kuondoa mawazo na huzuni

Hii OST ninayo kwenye simu yangu,naipenda sana.
Ila jamani The Heirs OST zake zote kali,bonge la drama yani.
 
Hii OST ninayo kwenye simu yangu,naipenda sana.
Ila jamani The Heirs OST zake zote kali,bonge la drama yani.
Katika OST zooote naipenda ost ya GOODBYE MY LOVE kwenye drama ya FATED TO LOVE YOU, yani hata muda huu naisikiliza, muimbaji ni Ailee.

Kwenye Boys over Flower karibu zote nazikubali ila zaidi ni ile I WILL CRY, pale Junpyo alivyokua anamsubiri Jandi arudi halafu Jandi yupo kwa Jihu akalala huko, daah nilimuonea huruma sana Junpyo pale huku akisindikzwa na huo wimbo.

The Heirs kweli ost zake zote kali naipenda zaidi LOVE IS FEELING.
 
Hujaangalia Gu family book?
Siipendi kabisa,nimewahi kuiangalia yote kishingo upande lakini siikumbuki.
Gu Family Book,My Girlfriend is Gummiho na Bridal Mask ni drama za kikorea nisizozipenda kabisa.
 
Wadau niaje aisee Mimi nami fans mkubwa sana wa Korean drama lakini napenda sana zile mapanga panga jumong,emperor of the sea,kingdoms of winds,princess nakrang,emperor Wang ghan,four God's, empress ki,iron empress, jewel ina a palace,king gwanggaetto,Damhmuyang,slave hunter, hizi ni baadhi tu hila very historical movies
Hila za mjini ni chache sana nimezipenda A man called god,iris,anthena the goddess of war,kwa Leo zinatosha
 
Siipendi kabisa,nimewahi kuiangalia yote kishingo upande lakini siikumbuki.
Gu Family Book,My Girlfriend is Gummiho na Bridal Mask ni drama za kikorea nisizozipenda kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we sema humpend Lee seung gi na dimpoz zake. Hata my girlfriend is a gumiho nlikata tamaa ya kuangalia wewe ulivyosema na mbaya. Ila kama unasema Gu family book pia mbaya ngoja niiangalie itakuwa nzuri tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiiiiiiii haki sizipendi balaa. Yani hata nijilazimishe vipi naona mbaya tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiiiiiiii haki sizipendi balaa. Yani hata nijilazimishe vipi naona mbaya tu!
[emoji23] [emoji23] ngoja leo nikaanze ya gumiho nije kukudolishia
 
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
nashindwa kuyapakua haya
nifanyaje?
 
Acha tu,kumbe wana vipaji na akili masikini [emoji24]
Hii series imeniliza sana jamani!
Nilipoingia na kuanza kukutana na avatar yako nikadhani umepotea njia... kumbe ni mimi ndie nimepotea njia kwa kudhani nimeingia kwenye Series Special Thread kumbe nimeingia kwenye Korean Drama!!!

I guess uko poa lakini!!!!
 
Lakini nakumbuka zamani nawe ulikuwa unazipenda hizi, au?

Yeaaaaah, am good,
Thanks
 
Lakini nakumbuka zamani nawe ulikuwa unazipenda hizi, au?

Yeaaaaah, am good,
Thanks
Hadi sasa nazipenda na bado huwa naziangalia mara moja moja though mambo ya kukodoa macho kusoma subtitles ndiyo yananikera na sina jinsi ya kukwepa!!
 
Back
Top Bottom