Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Story nyuma ya hii couple ya Kim Woo Bin(34) na Shin Min-a (39) inagusa sana, licha ya mmoja wao (Woo Bin) kusumbuliwa na Cancer kwa kipindi kirefu hilo halikuwa tatizo kwao na ilimlazimu Shin Min-a kupunguza project zake ili tu awe karibu na jamaa. Tangu 2015- present (miaka 9), celebrity wa bongo na Africa ni ngumu sana.

Ila nilichokuja kugundua ni kwamba, kwenye mahusiano ya Kikorea swala la umri halipo kabisa, mwanamke kumzidi mwanaume miaka 5 -10 ni kawaida sana.

Shin Min-a anamzidi Woo Bin miaka 5.
 
Hii Wakorea tunaita Noona nae yeojanikka[emoji16]
 
Nyimbo Kali mnoo, sometimes Nikiwa mpweke na play hizoo.
👉Sema Kaka ulale 😄😄
Kaka sijajua leo nina shida gani... Nimekosa usingizi kabisa nimeplay Ost zote zimekataa kuleta usingizi... Nimeona bora nije tu nishinde jf


Kuna mzee Charles kilian amegoma kulala Equatorial Guinea imeenda na usingizi wake😃

Drc huko👐
 
Kaka sijajua leo nina shida gani... Nimekosa usingizi kabisa nimeplay Ost zote zimekataa kuleta usingizi... Nimeona bora nije tu nishinde jf


Kuna mzee Charles kilian amegoma kulala Equatorial Guinea imeenda na usingizi wake😃
Shida hauangalii season zake, so huwezi ku relate😄.
👉Ila angalia when the wind blows by huge.
 
Ningeangalia ila drama za marehemu huwa siangalii
 
Nilikuambiaje
 
Nimeikuta kwenye Ile page ulinipaga tlgrm ila dizan kipo slow ila kinafanya kazi

LTNS, long time no sex, hapa ni mambo unayoyapenda and more, nkiri inachezea Mb 90_110...zimeshatoka ep 4 na Ina jumla ya ep 6. Enjoy
Ni drama au variety? Kabla sijajichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…