Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Umenishtua. Nikajua wameachana
 
Mimi ndio empress hapa, ngoja M Z A N Z I B A R I aje akuambie.
Mimi ni mmoja kati ya waanzilishi wa mambo ya hizi drama za Kikorea hapa JF.
teh teh teh
nilidhani muda huu utakuwa umepumzika kwenye lile kasri huku ukiringia heshima yako ya Queen Mother au Dowager.
kumbe bado ni EMPRESS.
Jumatatu yako ianze na nguvu ya upambanaji inayopingana na ukataji tamaa
LEGEND
👏👏👊
============
kwa hisani ya bibi yake KONCHO

View: https://www.youtube.com/watch?v=jXnsn7NxBIY
kwa tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili

tafadhali usisimame mbele ya kaburi langu huku ukibubujikwa na machozi,
mimi wala sijalala ndani ya kaburi hilo,

nafsi yangu imekuwa muangaza wa jua unaoivisha na kustawisha mbegu (nafaka)
nimekuwa majira ya baridi (kipupwe) yenye kuambatana na mvua.

nimekuwa upepo unaovuma zaidi ya mara elfu moja kwa siku,
nafsi yangu imekuwa dhahabu ing'arayo kwenye theluji.

wimbo unaitwa A thousand winds
 
Bado niponipo sana, nazichakata drama kimyakimya sina makeke hapa kama zamani.
Currently naangalia Khitan Goryeo War, japo nimemind sana Officer Sung Kyu kufariki mapema maana jamaa aliipatia sana ile character.
Hiyo pamoja na our blooming youth...

Ila leo nataka niangalie movie uliiweka hapa juzi ya The Hunt, naona ina kisa kizuri napenda hayo mambo.
Asante kwa wimbo.
 
Habari zenu wakuu,,sorry naombeni majina ya movies za drama kama empress ki na dong yi zenye stori muria
 
Huyu bibi namkubali sana.
 
The Flower in Prison

Queen Seondeok

Maids

Love in the Moonlight

The Red Sleeve

The King’s Affection

The Queen’s Umbrella

Mr Queen
Hiyo maids inaonekana nzuri nitaitafuta. Red Sleeve niliangalia kidogo nikashindwa kuendelea...nadhani nina tatizo na Lee jun ho hakuna drama yake niliyowahi kumaliza
 
Hiyo maids inaonekana nzuri nitaitafuta. Red Sleeve niliangalia kidogo nikashindwa kuendelea...nadhani nina tatizo na Lee jun ho hakuna drama yake niliyowahi kumaliza
Red Sleeve ilinishinda pia.

Nimeangalia historical drama nyingi ila hizo Love in Moonlight, King's Affair na Flower in prison huwa naziona tu ila sijui kwanini sijawahi kuzivuta, nahisi ninazijudge kwa kuangalia majina.
 
 
Nina laini ya Halotel / hizi bando naweza kuzipata?
 
Ulikuwa wapi Nifah:
Nakumbuka wakati nakuja humu Wewe na Daemusin ndio mlinipokea humu around 2018. Was my name The Great Conqueror
Nipo sema siku hizi naangalia drama kimyakimya sitaki kuspoil watu.

Nakumbuka sana wakati tunakupokea, kipindi kile tulikuwa machizi madrama ya kikorea tunaangalia 24/7!
Dah
 
Nipo sema siku hizi naangalia drama kimyakimya sitaki kuspoil watu.

Nakumbuka sana wakati tunakupokea, kipindi kile tulikuwa machizi madrama ya kikorea tunaangalia 24/7!
Dah
Karibu sana malkia wetu.
Tulikuwa na channel yetu telegram
 
Unaikumbuka jewel in the palace ya mwaka 2004,
lee young ae amekubali ofa ya kuigiza tena kwa mara nyengine uhusika wa dae jang geum baada ya miaka 20 kupita.

drama hiyo itaitwa Uinyeo Dae Jang Geum na inatarajiwa kuonekana mapema mwaka ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…