wiki mbili nyuma kuna kijana fulani tunafahamiana tokea chuo alipita sehemu ninayotumwa na wenye mamlaka, akaniuzia laini fulani ya HALOTEL kwa ajili ya internet tu.
kwa maana huwezi kupiga simu, kuunga halo pesa wala kutuma message.
vifurushi vyao vya internet vipo vizuri kwa namna fulani.
elfu 5 wakupa GB 4 kwa wiki.
nafikiria kusitisha huduma ya postpaid kwa muda ili niwatumikie vizuri halotel.
kwetu halotel unaweza kustremika mchana bila ya khofu ukilinganisha na mtandao wa tigo.
View attachment 2882600