Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
tumia viki, asian tv, kiss asian au drama cool bado ipo mzee.🤣 Nilidhani ni mimi peke yangu nazipenda. Kwa bahati mbaya nyingi hazina Subtitles. Na mwanzoni kuzipata ilikuwa Dramacool. Kwa sasa sidhani kama zinapatikana kirahisi.
Acha chai mkuu dramacool kama ipo ni kopi ya mchongo sio kama ya Zamani , link yako nishawi kuharibu ni ya kiduwanzi adds kibao yaani unadownload kwa mbinde mno na baadhi ya vigongo ukisearch havipo.tumia viki, asian tv, kiss asian au drama cool bado ipo mzee.
Kama hawavai mashuka usinitag labda awepo Lee Jong Ki .
Punguza mabangi marasmus nyau de adrizKama hawavai mashuka usinitag labda awepo Lee Jong Ki .
Mimi nimesha badilisha link, na ndio hata leo nime rudia kucheki you're all surrounded.Acha chai mkuu dramacool kama ipo ni kopi ya mchongo sio kama ya Zamani , link yako nishawi kuharibu ni ya kiduwanzi adds kibao yaani unadownload kwa mbinde mno na baadhi ya vigongo ukisearch havipo.
Hahahahaha!! Mabangi sio pigo zangu kabisa , hizo ni pigo za le Nyabumbu The Mongolian SavagePunguza mabangi marasmus nyau de adriz
Comrade Joanah ume enda wapi?
I mean no Malice to anybody.Mimi nimesha badilisha link, na ndio hata leo nime rudia kucheki you're all surrounded.
halafu kwanini nidanganye ini saidie kipi?, au ita ongeza kipi?.
have some respect before making accusations, sijajua why wabongo tuko faster sana kwenye hilo.
The only thing you will get is a sword, in your damn chest 😂😂😂I mean no Malice to anybody.
My post have no any malicious intent , I was just for funny and I wanted you to panic so that you can show me a site.
Oyaa Jombis temana na Mimi.Hahahahaha!! Mabangi sio pigo zangu kabisa , hizo ni pigo za le Nyabumbu The Mongolian Savage
Wameicheza vizuri sana.Dah Weak Hero wamezingua mbaya mbovu Season 2
Mbona ni kali au ulikuwa na story yako kichwaniDah Weak Hero wamezingua mbaya mbovu Season 2
Pengine, nilitegemea makubwa tofauti na kilicho wasilishwa.Mbona ni kali au ulikuwa na story yako kichwani
Duh ume iangalia kwa kukamia au expectations kubwa sana, kwangu naipa 8/10Dah Weak Hero wamezingua mbaya mbovu Season 2