Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimejaa tele Comrade,nipo episode ya 7 hapa

Endelea na yako sasa πŸ˜‚
huyu wa pili ali kuja na marafiki zake ambao wana kaa karibu na kwangu, so huwa Kuna ki bustani Cha mchongo watu hupenda kupigia story hapo.

Saw her and said hi, then baadae aka ondoka kwani ali kuwa ana safiri.
Baadae Nika omba namba kwa sister alio kuwa nao, ika bidi aulizwe Kama nipewe namba au lah!.

so alipo pigiwa ali jua wana ongea wawili tu, kumbe nili kuwa hapo pia.
Swali lake la kwanza, ana maokoto πŸ˜ƒπŸ˜‚.

namba Nika pewa, within 3 days of talking kaanza kuni tangazia shida eti nimpe mkopo.
Kumbe yupo na wale ma sister, and after inquiring about me ndio aka jiombesha mkopo.

I wanted to give her that money through a friend of hers(who is also my close associate), ila aka Anza kuni lalamikia so nika I Said no.

Baadae ndio naambiwa na yule close associate kwamba yule ndio alivyo, ana asili ya wagogo πŸ˜ƒ.

Next time namuona kavaa vikuku, mara visuruali Kama vya watoto.
Nika mpotezea mazima, now ni mwana tu.

sad story she lied to me eti Hana watoto, kumbe she got 3 kudadadeki πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu ni bora yule wa kwanza
 
1. Chuno
2. Msanii wa kiume jang hyuk na wakike ni park min young na IU
3. Drama ya kwanza ilikuwa Jumong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…