Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Weka vitu nione kama nitapenda kweli
usipo penda nitongoze,uki zipenda kaa mbaliπŸ˜‚πŸ”₯.

Download with English lyrics

1)Beautiful - crush, ipo ya English cover by dayrl ong(zote nzuri).
2, stay with me - chanyeol ft punch
3, round round - heize ft han soo ji.
4, Our tears - hyolyn πŸ”₯ .
5, the rose - park dojoon
6, when I close your eyes - bonngu
7, Just watching you - jeong sewoon.
8, can you hear my heart with no rap

Comrade Joanah niendelee?
 
Nipe muda nisikilize hizi kwanza
 
Mimi my favourite ni
1. If, hii ipo kwenye hong gil dong
2. Full moon, ipo kwenye Doona
3. A good day like this, ipo kwenye Doctor stanger
4.Can you hear me, moon lovers
 
Mheshimiwa Rais hii list bila nyimbo hata moja kutoka Gu family book ni batili.

Choi Jin Hyuk-Best wishes to you(Gu family book)

Baada ya kututembelea kwenye idara yetu bwana Selikavu ameniomba nipite hapa kutoa salamu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…