Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii wiki nzima nimeikumbuka sana drama ya A Man Called God, moja kati ya drama nizipendazo sana of course ni sababu ya Oppa Ill Guk Sung.

Mwanahabari Sin Bo Bae anapowaingiza vitani mwamba Choi Kang Ta aka Peter Pan na Mwanausalama, vigogo nao huko wamenyanyasika sana baada ya dhulma walioifanyia familia ya Choi.

Uhusiano wa Sin Bo Bae na babu yake mshona viatu unaoyeyusha mioyo, Harakati za mwanadada Vivian juu ya penzi la Michael (Choi Kang Ta)…

Muhenga mimi nimekumbuka drama zilipokuwa na taste ya Kikorea sio huu utopolo wa Netflix.
 
Moja kati ya drama kali sana, wali itendea haki.

jaribu kuangalia tell me what you saw, yumo jang hyuk kali mno.
 
Hiyo ni moja ya series yangu pendwa ya muda wote.

Yule mpuuzi aliamua kujiua mwenyewe baada ya kusikia mwili wa Michael King haujaonekana, ila kilichoniuma ni dada yake Michael kufa.
 
Inaonesha una taste nzuri ebu nipe list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…