Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hizo bado naona nyingi kwangu, walau episode zikiwa 24 naweza cheki.Icheki journey to love π₯, Ina episode 39 tu.
Hizo zote nime angalia kudadadeki ππ. Hizi ni favorite zangu.Hizo bado naona nyingi kwangu, walau episode zikiwa 24 naweza cheki.
Series za kichina nilizotazama.
Legend of Qin(hii naweza irudia wakati wowote, niliipenda)
Legend of ancient sword(ilinikera mwishoni)
Arrows on the bowstring(hii unyama kabisa)
Destinied to love you(hii burudani)
Cruel romance(nilitazama kwa kudokoadokoa)
Double killers
Nyingi nimesahau ila huenda nitaanza kuzitazama tena maana huku korea naona kama series zimekuwa za mchongo.
Hizo ni hatari mkuu na series zangu pendwa zaidi hapo ni;-Hizo zote nime angalia kudadadeki ππ. Hizi ni favorite zangu.
Arrow - baba kamongo, officer ankhai.
Cruel romance - zhong Zhen
Legend of qin - kule pangoni
Poa mkuu nitapita nayo.Razorblade angalia joy of life huto jutia licha ya kuwa na episode 46 ila ni kali sana kudadadeki.
Narudia Anza hata Leo, ni chuma na nusu.Poa mkuu nitapita nayo.
Naiweka kwenye list mkuu maana series ni nyingi na muda ni mchache.Narudia Anza hata Leo, ni chuma na nusu.
OYa Selikavu Kama huyu jamaa ana lalamika mimi nisemejeππNaiweka kwenye list mkuu maana series ni nyingi na muda ni mchache.
Amini mkuu ndiyomaana mie napenda movie/series niwe nazo kwenye simu ili muda wowote na popote napopata nafasi naangalia.OYa Selikavu Kama huyu jamaa ana lalamika mimi nisemejeππ
Hahaha same here, nina ki touch padAmini mkuu ndiyomaana mie napenda movie/series niwe nazo kwenye simu ili muda wowote na popote napopata nafasi naangalia.
Huyo haji sasahivi yupo kwenye game huko π
Ulijuaajeπ€£π€£Amini mkuu ndiyomaana mie napenda movie/series niwe nazo kwenye simu ili muda wowote na popote napopata nafasi naangalia.
Huyo haji sasahivi yupo kwenye game huko π
Hapa penyewe niko naangalia ππWewe ushatengwa upo Dunia yako mzeeπππ
Ubongo wako sasa asilimia 75 ni seriesπππHapa penyewe niko naangalia ππ
Asilimia 5 ni series, 70 msosi ππUbongo wako sasa asilimia 75 ni seriesπππ
Wanakupika sasa kakaAsilimia 5 ni series, 70 msosi ππ
Naijua mida yako πUlijuaajeπ€£π€£
Oya mmesha lala wewe na pimbi SelikavuNaijua mida yako π
Nililala saa 8 kasoro mkuu, Shark: The Storm nimeimaliza, Hii seoson 1 ilivyoisha inaonyesha kuna muendelezo wa seoson nyingine.Oya mmesha lala wewe na pimbi Selikavu