Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Angalia dear hong rang, yumo lee Jae wook wa alchemy souls kali mno.Naam π
Huyu jamaa chenga sanaNifah, Selikavu, adriz, Razorblade dingi wa kwenye empress ki, alchemy si karudi m huku kwenye hong rang sijui ana bifu gani na lee Jae wookππ
View attachment 3341631
Halafu Kunguru huyoππHuyu jamaa chenga sana
Wamehamishia vita huku kwenye hongrang, sema huyu dingi huwa mbishi sana halafu kunguru balaa.Nifah, Selikavu, adriz, Razorblade dingi wa kwenye empress ki, alchemy si karudi m huku kwenye hong rang sijui ana bifu gani na lee Jae wookππ
View attachment 3341631
Ukila nae dili huyo ujue umeisha πHalafu Kunguru huyoππ
Akiona mme zidiwa speed 360Wamehamishia vita huku kwenye hongrang, sema huyu dingi huwa mbishi sana halafu kunguru balaa.
Kuna series baadhi wame haribu, na huu mpango wao wa kusubiri miaka 4 ili season 2 itoke ndio wana boa zaidi.Netflix wanaharibu sana vikorea. Kazi zao mbovu mno
Hiyo series inahusiana na niniHii ni amri kenge maji π€£, Anza episode 3 tu halafu uta niambia.
Mimi nili imaliza siku 1 kudadadeki π€£
Google and Wikipedia iko hapo kukujulisha.Hiyo series inahusiana na nini
Nili kumiss sana comrade πNipo hapa comrade
Nili kumiss sana comrade π
Nili ogopa Ume kutana na hili pimbi comrade wanguππNilikumiss zaiiiid Comrade π
Nili ogopa Ume kutana na hili pimbi comrade wanguππ
View attachment 3343666
Nikimaliza nipe chuma kingine mkuu
Kaka Kuna vyuma nime vigundua, aisee ni π₯ π₯Nikimaliza nipe chuma kingine mkuu