Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Alchemy si ziko 2 season, au hujaona ya pili?.Kwanza sijamuona siku nyingi huyo kaka ila huwa simkubali π
Alchemy of souls ni ile ya zamani ama imetoka season mpya?
Dear Hongrang nimesikia huko tiktok wanasema ina sad ending
Season 2 imetoka lini?Alchemy si ziko 2 season, au hujaona ya pili?.
Dear horang we angalia, masuala ya sad ending usi Tishwe π€£
Mbona kitambo aisee, ninazo hapa.Season 2 imetoka lini?
Comrade binafsi nikishajua movie/drama ina
1. Mapenzi ya jinsia moja
2. Sad ending
3. Sio ya mwaka husika
Siangaliii wala sianzi kuanza kuangalia π
Naongezea
Movies/drama za kivita/ wanapigana sana
Za kutumia sana akili
Niwekee list yake nitasogea navyo taratibu. Wakorea wamepunguza mizuka ya mapigano hasa kwenye pangaKaka Kuna vyuma nime vigundua, aisee ni π₯ π₯
Journey to loveNiwekee list yake nitasogea navyo taratibu. Wakorea wamepunguza mizuka ya mapigano hasa kwenye panga
Hongrang ina sad ending mkuu acha ubishi πMbona kitambo aisee, ninazo hapa.
hongrang ya Mwaka huu, sad ending wana jisemea tu.
una haribu, acha mtu aangalie hiyo sad ending ata jua mwenyewe π πHongrang ina sad ending mkuu acha ubishi π
Ukizingatia sad ending series/movie nyingi hutoangalia, binafsi nazingatia maudhui ya filamu husika ingawa sad ending huwa zinanikera pia πuna haribu, acha mtu aangalie hiyo sad ending ata jua mwenyewe π π
Mimi naangalia plot, mtu aki niuliza hiyo drama ikoje naona si mwangaliaji.Ukizingatia sad ending series/movie nyingi hutoangalia, binafsi nazingatia maudhui ya filamu husika ingawa sad ending huwa zinanikera pia π
Nilikuwa mapumziko kidogo baada ya kumaliza ep 2 ya hongrang sasa niende nikaangalie my country.Mimi naangalia plot, mtu aki niuliza hiyo drama ikoje naona si mwangaliaji.
We nae Kama lizee, episode 2 siku 4?Nilikuwa mapumziko kidogo baada ya kumaliza ep 2 ya hongrang sasa niende nikaangalie my country.
Muda mkuu mie sikai lindo JF kama wewe πWe nae Kama lizee, episode 2 siku 4?
Kaka nani ana kaa lindo aiseeππMuda mkuu mie sikai lindo JF kama wewe π
Siyo wewe ni Selikavu πKaka nani ana kaa lindo aiseeππ
Asante Sasa hivi naendelea na Sword and Fate. Nikimaliza naunga na hiziJourney to love
who rules the world
ingenious one
Legend of shenli
Pamoja sana mwana dynasty mwenzangu, maana huku team wachina ni wachache.Asante Sasa hivi naendelea na Sword and Fate. Nikimaliza naunga na hizi
Tuko pamoja wachina ukiwazingatia wana radha yao nzuri iliyochanganywa na tamaduni zao.Pamoja sana mwana dynasty mwenzangu, maana huku team wachina ni wachache.
Nenda kwenye website ya Opensubtitles.Hivi wakuu napataje subtitle halisi ya gyemseong creature maana nashindwa kuangalia subtitle inaruka haiendani na wanavyoongea kila nikijaribu website zingine mambo yale Yale.