Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Selikavu huyu mtoto asi lalamike π€£π€£Sisi umetutenga peke yetu π
Kama ni final season ndo inaweza nishawishi kuanza kuangalia seoson 1.
Hiki chuma kinatoka week ijayo stay tunedComrade hivi sijakwambiaga siangalii horror movies/dramas? π€¦ββοΈ
Sweet Home ninazo kwenye PC season ya kwanza na ya pili sijui lakini sijioni nikiziangalia
Ngoja niweke notification kabisa
wewe uki pigwa vizuri uta jieleza kwanini una sumbua ππ€£Hiki chuma kinatoka week ijayo stay tunedView attachment 3352225
Chuma kikali sana kaka utaona πππ«΅wewe uki pigwa vizuri uta jieleza kwanini una sumbua ππ€£
Aisee kweli kazi ninayo ππ€£Chuma kikali sana kaka utaona πππ«΅
Kila kona unanipiga misumari πHana cha kutuambia mlina asali...
Yamjini ilasiohizi za Marais ni ma gangYa Mjini au Mashuka ?
Nipo na wewe mpk wakuueπ€£Kila kona unanipiga misumari π
Hahahahaha!! Intelligent businessman piga goti kwanzu Mimi Gun nishughulikie hii Selikavu chap , Mimi kama Pirate sina permanent alliance ninapoona maslahi naruka napoHiki chuma kinatoka week ijayo stay tunedView attachment 3352225
Nyau de adriz umbwaaa.Hahahahaha!! Intelligent businessman piga goti kwanzu Mimi Gun nishughulikie hii Selikavu chap , Mimi kama Pirate sina permanent alliance ninapoona maslahi naruka napo
View attachment 3354968
Inaonekana moyo wako mwepesi sana πNani anaangalia our unwritten seoul?
Wanaume wataniua mie nishafall kwa ML π
Inaonekana moyo wako mwepesi sana π
Huo moyo upo hivyo kwa wanaume wa kwenye kideo tu au hata mazingira ya kawaida? Sitaki tumpoteze mapema comrade wako Intelligent businessman π
Sasa mbona hatari, kwahiyo unamaanisha unabeba ndoo na kidumu πMoyo wangu mwepesi kweli π
Hata wanaume wa kawaida nafall π
Comrade ana shida gani kwani?
Ajikaze tu πSasa mbona hatari, kwahiyo unamaanisha unabeba ndoo na kidumu π
Comrade wako akiona hiyo comment ya namna vile moyo wako ni mwepesi atapata sonona na huenda tukampoteza π