Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Hii series inawatu aisee.Numbisa, Nifah, Mac Alpho, Ka uli ipenda veil, undercover, basi hii ni nzuri pia.
We kenge ka ni mapazia na mashuka basi Selikavu, na Razorblade wata kuletea ya mitumba.
Comrade Joanah, jaribu hii.
View attachment 3366109
Numbisa, Nifah, Mac Alpho, Ka uli ipenda veil, undercover, basi hii ni nzuri pia.
We kenge ka ni mapazia na mashuka basi Selikavu, na Razorblade wata kuletea ya mitumba.
Comrade Joanah, jaribu hii.
View attachment 3366109
Kuna kazi moja inaitwa The Rebel Thief Who Stole The People🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Picha linaanza mwamba demu wake alikamatwa afu wakamtumia kama chambo ili jamaa aweze ku surrender. Unaambiwa kwanza jamaa akamuweka huyo demu mshale ili mambo yasiwe mengi afu ndo vagi likawaka sasa🔥Nimeshaiona au nipe yenye genre ya Romance isiwe ya kitoto sijui walikuwa wapenzi utotoni wakapoteana wakaja kukutana ukubwani hizo sizitaki au main characters wana ucomedi wa kujitoa akili hizo hapana nataka zile zenye matukio kiasi ambacho ikiisha episode moja unatamani kutazama inayofuata unakuta story imeshiba mfano mzuri ni kama fate&furious,Mask,dangerous wife,VIP, Secret love,The empress ki n.k isiwe ya fantansy
Asante ngoja nikaitafuteKuna kazi moja inaitwa The Rebel Thief Who Stole The People🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Picha linaanza mwamba demu wake alikamatwa afu wakamtumia kama chambo ili jamaa aweze ku surrender. Unaambiwa kwanza jamaa akamuweka huyo demu mshale ili mambo yasiwe mengi afu ndo vagi likawaka sasa🔥
Hong gil dongKuna kazi moja inaitwa The Rebel Thief Who Stole The People🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Picha linaanza mwamba demu wake alikamatwa afu wakamtumia kama chambo ili jamaa aweze ku surrender. Unaambiwa kwanza jamaa akamuweka huyo demu mshale ili mambo yasiwe mengi afu ndo vagi likawaka sasa🔥
Ebu niitafute mkuuSelikavu, Razorblade, Edo kissy, Nifah, Numbisa
Oya hii chuma ni 🔥 🔥, comrade wangu Joanah usi jifanye huoni.
Mercy for none
View attachment 3370480
We kenge maji tulia 😂🤣
Kali mzeeEbu niitafute mkuu
Imeshatoka?Selikavu, Razorblade, Edo kissy, Nifah, Numbisa
Oya hii chuma ni 🔥 🔥, comrade wangu Joanah usi jifanye huoni.
Mercy for none
View attachment 3370480
Kwani siku zote naku tag kwanini?Imeshatoka?
Nitapita nayo.Selikavu, Razorblade, Edo kissy, Nifah, Numbisa
Oya hii chuma ni 🔥 🔥, comrade wangu Joanah usi jifanye huoni.
Mercy for none
View attachment 3370480
IDKKwani siku zote naku tag kwanini?
usha Anza Kuwa Kama yule Dem prosecutor, wa kwenye military prosecutor doberman
The mighty child who survived🙌🏾🙌🏾
Nipe na site ya kuishusha kwa full HD please.Selikavu, Razorblade, Edo kissy, Nifah, Numbisa
Oya hii chuma ni 🔥 🔥, comrade wangu Joanah usi jifanye huoni.
Mercy for none
View attachment 3370480
Halafu hii ipo kwenye streaming tu, labda ka Razorblade kashainyaka.Nipe na site ya kuishusha kwa full HD please.
Binafsi kwa website nayotumia mara nyingi tayari imewekwa, naweza pita nayo muda wowote.
Onstream and Youcine TvNipe na site ya kuishusha kwa full HD please.
Mtajia jina la website Nifah, maana mimi siku hizi na stream tu.Binafsi kwa website nayotumia mara nyingi tayari imewekwa, naweza pita nayo muda wowote.