Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Bei ianzie ngapi kiongozi?Watu wa darisalama
Maeneo ya TEGETA kuna hoteli gani au lodge za bei nafuuu.
Itapendeza ikiwa karibu na ofisi za TRA.
Si mbaya ukinitajia majina yake
Selikavu
Razorblade
Intelligent businessman
Edo kissy
Angetaka za masaki, ningemsaidia mkuu 😅😅.. Tegeta imekaa kushoto, ila akisoge kibo complex ambayo ipo karibu na ofisi za TRA hatakosaBig Balls njoo usaidie hapa chap
Zisiwe bei za hoteli zilizopo stone town ZanzibarBei ianzie ngapi kiongozi?
Mjeshi vidole juu 😂Sasa ni Transgender angefanyaje 😃😃
Kwa upande wangu sifahamu mkuu.Watu wa darisalama
Maeneo ya TEGETA kuna hoteli gani au lodge za bei nafuuu.
Itapendeza ikiwa karibu na ofisi za TRA.
Si mbaya ukinitajia majina yake
Selikavu
Razorblade
Intelligent businessman
Edo kissy
50- 100k right?Zisiwe bei za hoteli zilizopo stone town Zanzibar
Red black mwenyej wa mitaa hiyo😂🙌Watu wa darisalama
Maeneo ya TEGETA kuna hoteli gani au lodge za bei nafuuu.
Itapendeza ikiwa karibu na ofisi za TRA.
Si mbaya ukinitajia majina yake
Selikavu
Razorblade
Intelligent businessman
Edo kissy
😂😂Liishie hapa hapa
Wanaisahau katiba🙌Nashukuru kwa hilo ndugu yangu, hawa kina Selikavu hawana heshima kabisa🤣😂
Mpe location akafaidi🙌😂Hahaha😂
Mkuu binafsi sipo Dar ...Watu wa darisalama
Maeneo ya TEGETA kuna hoteli gani au lodge za bei nafuuu.
Itapendeza ikiwa karibu na ofisi za TRA.
Si mbaya ukinitajia majina yake
Selikavu
Razorblade
Intelligent businessman
Edo kissy
Tegeta nyukiMpe location akafaidi🙌😂
😂🙌 Ndio jina la lodge?Tegeta nyuki
Binafsi natumia https://www.awafim.tv/lakin naona hiyo movie bado hawajaweka...Baada ya kumaliza our unwriten seoul na motel california jana
Leo naanza hizi dramas mbili Head Over Heels naona zimetoka episodes 2 na Our Movie huku nikisubiri jumatano episode mpya ya The First Night With The Duke ...hope hizi dramas sitaboreka kama ilivyokuwa kwa Good Boy
Kuna anayejua site nyingine ya kudownload manake nimeona Love Phobia imetoka lakini Nkiri siipati
Asante sana mkuuBinafsi natumia https://www.awafim.tv/lakin naona hiyo movie bado hawajaweka...
Ila Hawa wapo updated mno
yeah😂🙌 Ndio jina la lodge?
Nkiri tulishakimbia huko mkuu😃😃tupo huku vitu Quality kabisaAsante sana mkuu
Hii site itanisaidia sana Nkiri ikisumbua kama ilivyofanya dramacool
Nkiri tulishakimbia huko mkuu😃😃tupo huku vitu Quality kabisa